dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 4,721
- 12,873
Sijasema peponi wala mbinguni ila dimension nyingine unaweza kuita unavyoweza ila dimension zaidi ya hizi zipo hivyo labda kuna viumbe wanazaliwa hivyo au ni transition ya mtu, unatoka tumboni unakuja dunia je ni wapi unaenda tena, maana kama kuzaliwa sio mwisho wa kiumbe hatuwezi kusema kufa ndio mwishoUkifa umepotea mazima. Hakuna peponi wala mbinguni.