Safari ya Maisha ya Binadamu Inashangaza Sana

Safari ya Maisha ya Binadamu Inashangaza Sana

D

DeletedMember281674

Guest
Unazaliwa unaishi miaka mingi kuanzia miaka 10 na kuendelea hadi 100 juu ya sakafu ya Ardhi ya Dunia.

Ila ukifa tu, una siku 3 Tu za kuishi juu ya sakafu ya Ardhi ya Dunia, na bado una miaka mingi zaidi ya 100 ya kuishi chini ya sakafu ya Ardhi ya Dunia.

Kweli Maisha ya Binadamu ni ya kupita hapa Duniani.
 
Halafu unakuta mtu anaiba hela za umma na kuwatesa raia kwa kukosa huduma muhimu ili tu yeye ajijengee ufalme hapa Duniani!
Ina shangaza sana.
 
Back
Top Bottom