Member mwenzetu hatunae

Member mwenzetu hatunae

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,518
Reaction score
5,148
Maisha ni mafupi sana,tupendane maana hakuna chenye thamani duniani zaidi ya uhai.

Uhai wa mtu haufananishwi na kitu chochote,hivyo hatuna sababu ya kuishi kwa kuumizana,kutesana.

Tumuombee member mwenzetu Mwenyezi Mungu ampokee.

MARANGU MOSHI

IMG-20260922-WA0000.jpg
 
Ni vema Ukatoa sababu ya kifo inakuwa n mguso kwa Sisi waombolezji

R.I.P Praygod
 
Maisha ni mafupi sana,tupendane maana hakuna chenye thamani duniani zaidi ya uhai.

Uhai wa mtu haufananishwi na kitu chochote,hivyo hatuna sababu ya kuishi kwa kuumizana,kutesana.

Tumuombee member mwenzetu Mwenyezi Mungu ampokee.

MARANGU MOSHI
Pole sana familia, ndugu, jamaa, marafiki na wadau wawote wa Jf kwa msiba huu mzito wa miongoni mwa wa wadau wa jf.

Raha ya milele umpe Ee Bwana, na mwanga wa milele umuangazie, mwenzetu PrayGod E.Lyaro apumzike kwa amani,
Aimen 🙏
 
Ni huzuni kwa kweli! Pole kwa famila yake ndugu na jamaa na sisi JF.
Tunachopaswa kufanya ni kuhakiksha tunamwomba Mungu kila siku atusamehe dhambi zetu ili hata tukiondoka duniani atupokee huko mahali pema tukapumzike kwa amani.
Mungu atusaidie.
 
Sina member anayenifahamu humu, siku nikitwaaliwa kwenda mbinguni kwa Mungu Baba sijui nani ataleta habari humu. Wengine wanabadili badili ID, wengine wana ID nyingi ni ngumu kuwajua kama nao watatwaliwa, hatutaweza kuleta habari zao humu
 
Back
Top Bottom