Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 6,641
- 16,502
Hili siyo jibu nililotarajia utanijibu Mkuu.Natumai wewe ni miongoni mwa wale wasemao, "sitakufa bali nitaishi".
Hili siyo jibu nililotarajia utanijibu Mkuu.Natumai wewe ni miongoni mwa wale wasemao, "sitakufa bali nitaishi".
Hii ni Kali 😂🤣.kuna bandiko moja nadhani ni la Mshana Jr niliwahi kulisoma humu jukwaani kuhusu habari ya kifo, na kwamba watu huogopa kifo kwasababu hawako ndani ya hicho kifo, lakini wakiishaingia ndani ya hicho kifo hofu ile hutoweka kwasababu tayari wanakua ndani ya kifo, vile vile hata kuingia motoni au akhera inakua hivyo hivyo,
kwasababu haujaingia motoni bado unaweza kua na hofu, lakini ukisharushwo motoni ile hofu mara moja inatoweka na unakua mzoefu pale motoni
so,
kuogopa kua mahali usikokujua ni kwa muda tu, ila ukishaingia huko hofu ile inatoweka na unakua mzoefu na tamaa ya kua duniani au motoni inakua haipo tena.![]()
ExactlyMimi naamini nikifa hali inakuwa kama ilivyokuwa kabla sijazaliwa. Napotea mazima.
Maisha ya kimwili ni maisha ya level ya chini sana na yana mwisho wake lakini kuna maisha ya juu, nayo ni maisha ya kiroho ambapo maisha bila miili yetu yanawezekana. Kuna viumbe vinaishi bila miili, e.g. majini, malaika, mashetani, na vingi vingine.Unaishije katika roho?
Nipe somo kama hutajali.
Mkuu ngoja nikuulize. Hivi mwaka 1800 ulikuwepo duniani? Ninauhakika haukuwepo. Kama haukuwepo ulijisikiaje (ulikuwa na hisia gani) mwaka 1800?Hili siyo jibu nililotarajia utanijibu Mkuu.
Mimi naamini nikifa hali inakuwa kama ilivyokuwa kabla sijazaliwa. Napotea mazima.
Maisha ya kimwili ni maisha ya level ya chini sana na yana mwisho wake lakini kuna maisha ya juu, nayo ni maisha ya kiroho ambapo maisha bila miili yetu yanawezekana. Kuna viumbe vinaishi bila miili, e.g. majini, malaika, mashetani, na vingi vingine.
Unauhakika hao viumbe wisivyo na miili wapo?Maisha ya kimwili ni maisha ya level ya chini sana na yana mwisho wake lakini kuna maisha ya juu, nayo ni maisha ya kiroho ambapo maisha bila miili yetu yanawezekana. Kuna viumbe vinaishi bila miili, e.g. majini, malaika, mashetani, na vingi vingine.
Umenena vile nipendavyo, 👏.Mtu akifa nyama ya funza. Stori inaishia hapo. Hiyo ya kusema kuna sehemu tunaenda ni biashara. 😊
Mimi naamini nikifa hali inakuwa kama ilivyokuwa kabla sijazaliwa. Napotea mazima.
Duh, mkuu tangu ulipotupa matunguli umekuwa mtu sana! Hii shule ni kubwa sana!Kifo si mwisho wa mchakato wa uhai wetu, bali ni mlango mtakatifu unaofungua ukurasa wa mwanzo mpya na wa milele.
Mwili wa nyama unaporudi mavumbini na kukamilisha safari yake ya kibiolojia, roho haifi; inavua vazi hili la udongo lenye mipaka, maumivu, na machozi, tayari kuvuka ng’ambo ya mto wa uzima.
Huu ni wakati wa kiroho ambapo nishati ya kimungu iliyomo ndani yetu inarejea kwenye chanzo chake kikuu, ikiwa imeandaliwa kuanza safari mpya katika ulimwengu wa utukufu na mwanga usiotiwa giza.
Katika hatua hii, fahamu yetu haizimiki bali inalindwa na kufanywa upya, ikisafiri kwa amani kuelekea maskani ya milele ambako hakuna tena muda, uzee, wala uharibifu, bali ukamilifu wa upendo wa kimungu.
Wapo sana kwani sayansi ya kiroho inaonesha kuwa wapo. Kama umesoma kidogo sayansi tutaweza kujadili lakini kama huna mwanga hata kidogo basi tutaishia hapa.Unauhakika hao viumbe wisivyo na miili wapo?
Bado haujaelewa mantiki ya swali langu naona.Mkuu ngoja nikuulize. Hivi mwaka 1800 ulikuwepo duniani? Ninauhakika haukuwepo. Kama haukuwepo ulijisikiaje (ulikuwa na hisia gani) mwaka 1800?
Kweli kabisa mkuu. Hawa wanaosema Kuna maisha baada ya kufa mbona hawasemi wanyama nao wanamaisha baada ya kifo?Hauwi kitu chochote, unakuwa hakuna/haupo. Funza wanamalizia nyama zako na vifupa wanakula mchwa. 😊
Kifo si mwisho wa mchakato wa uhai wetu, bali ni mlango mtakatifu unaofungua ukurasa wa mwanzo mpya na wa milele.
Mwili wa nyama unaporudi mavumbini na kukamilisha safari yake ya kibiolojia, roho haifi; inavua vazi hili la udongo lenye mipaka, maumivu, na machozi, tayari kuvuka ng’ambo ya mto wa uzima.
Huu ni wakati wa kiroho ambapo nishati ya kimungu iliyomo ndani yetu inarejea kwenye chanzo chake kikuu, ikiwa imeandaliwa kuanza safari mpya katika ulimwengu wa utukufu na mwanga usiotiwa giza.
Katika hatua hii, fahamu yetu haizimiki bali inalindwa na kufanywa upya, ikisafiri kwa amani kuelekea maskani ya milele ambako hakuna tena muda, uzee, wala uharibifu, bali ukamilifu wa upendo wa kimungu.
Hakuna shetani, hakuna majini, full stop.Wapo sana kwani sayansi ya kiroho inaonesha kuwa wapo. Kama umesoma kidogo sayansi tutaweza kujadili lakini kama huna mwanga hata kidogo basi tutaishia hapa.
Watu ambao hawajui chemistry ukiwaambia kuna hydrogen na oksijeni watakuambia huo ni uongo wa wanasayansi lakini wanasayansi wanajua kuwa vitu hivi vipo.Hakuna shetani, hakuna majini, full stop.