Ukifa, hutatamani tena kuishi duniani!

Ukifa, hutatamani tena kuishi duniani!

Ukifa hutatamani tena kuishi duniani.

Hutatamani kuishi tena duniani kwa sababu utakuwa hujui chochote kinachoebdelea.

Hali inakuwa sawa na vile ilivyokuwa kabla ya kuzaliwa.

Ni hayo tu!
Hayo ni kwa wale watakaokufa, kwa wale wenzangu ambao hatutakufa tunategemea yafuatayo: kwanza, maisha kuendelea kama kawaida isipokuwa tu miili yetu haitakuwepo na pili kuendelea kuishi kwa milele na milele katika roho. Ni hayo tu kwasasa.
 
Mkuu, umefanya vizuri sana kuniombea pumziko jema nikiwa nasikia na kuona kabisa.
kuna bandiko moja nadhani ni la Mshana Jr niliwahi kulisoma humu jukwaani kuhusu habari ya kifo, na kwamba watu huogopa kifo kwasababu hawako ndani ya hicho kifo, lakini wakiishaingia ndani ya hicho kifo hofu ile hutoweka kwasababu tayari wanakua ndani ya kifo, vile vile hata kuingia motoni au akhera inakua hivyo hivyo,

mathalani,
kwasababu haujaingia motoni bado unaweza kua na hofu, lakini ukisharushwa motoni, ile hofu mara moja inatoweka na unakua mzoefu pale motoni:pedroP:

so,
kuogopa kua mahali usikokujua ni kwa muda tu, ila ukishaingia huko hofu ile inatoweka na unakua mzoefu na tamaa ya kua duniani au motoni inakua haipo tena. :BASED:
 
Hayo ni kwa wale watakaokufa, kwa wale wenzangu ambao hatutakufa tunategemea yafuatayo: kwanza, maisha kuendelea kama kawaida isipokuwa tu miili yetu haitakuwepo na pili kuendelea kuishi kwa milele na milele katika roho. Ni hayo tu kwasasa.
Unaishije katika roho?

Nipe somo kama hutajali.
 
Back
Top Bottom