Ukifa, hutatamani tena kuishi duniani!

Ukifa, hutatamani tena kuishi duniani!

Kifo si mwisho wa mchakato wa uhai wetu, bali ni mlango mtakatifu unaofungua ukurasa wa mwanzo mpya na wa milele.

Mwili wa nyama unaporudi mavumbini na kukamilisha safari yake ya kibiolojia, roho haifi; inavua vazi hili la udongo lenye mipaka, maumivu, na machozi, tayari kuvuka ng’ambo ya mto wa uzima.

Huu ni wakati wa kiroho ambapo nishati ya kimungu iliyomo ndani yetu inarejea kwenye chanzo chake kikuu, ikiwa imeandaliwa kuanza safari mpya katika ulimwengu wa utukufu na mwanga usiotiwa giza.

Katika hatua hii, fahamu yetu haizimiki bali inalindwa na kufanywa upya, ikisafiri kwa amani kuelekea maskani ya milele ambako hakuna tena muda, uzee, wala uharibifu, bali ukamilifu wa upendo wa kimungu.
Ko baada ya hapo hiyo roho ndo inaenda huko kuchomwa moto milele?
 
Sioti kila siku. So kwenye zile siku ambazo sioti nafsi inakuwa hai-function, siyo?
Unapoamka asubuhi na mwendelezo wa kumbukumbu zako hivyo ndivyo nafsi inavyo fanya kazi, ingekuwa inazima kabisa, usingekuwa na uwezo wa kuamka asubuhi ukiwa na kumbukumbu zako zile zile.

Ungekuwa kila asubuhi unaamka ukiwa mpya kabisa.
 
Back
Top Bottom