Je, mbuzi dume akibaka atakwenda motoni?Ataishi katika roho kwa level yake kama mbuzi.
Mbuzi hawezi kubaka kwani hana utambuzi wa mema na mabaya.Je, mbuzi dume akibaka atakwenda motoni?
Umejuaje kama hana utambuzi wa mema na mabaya. Ulishawahi kuwa mbuzi?Mbuzi hawezi kubaka kwani hana utambuzi wa mema na mabaya.
Mbuzi hawezi kutenda dhambi (kubaka) kwani hana utambuzi wa mema na mabaya. Kwa hiyo mbuzi wote huenda Peponi,😉Je, mbuzi dume akibaka atakwenda motoni?
Sawa hawana mema na mabaya. Je, wanafanya makosa?Mbuzi hawezi kutenda dhambi (kubaka) kwani hana utambuzi wa mema na mabaya. Kwa hiyo mbuzi wote huenda Peponi,😉