Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 12,780
- 24,099
natamani niache wosia nichomwe moto usiku km hv huko kaburini sijui itakuwaje nikiwakumbuka wapendwa wangu na jf daaah sijui wale wachaga watakubali?
Huenda sijaelewa hiyo internal observer unayoizungumzia. Hebu fafanua jinsi hiyo internal observer inavyofanya kazi.Ndiyo, swali ni uhakika gani ulio nao kuwa internal observer huwa inazima kabisa?
Vipi kama huwa hailali wala kuzima?
Let's wait and see.It is what it is.
Ule uwezo wako kwa kufikiri, kuhisi n.k hiyo ndiyo internal observerHuenda sijaelewa hiyo internal observer unayoizungumzia. Hebu fafanua jinsi hiyo internal observer inavyofanya kazi.
Siyo mpaka uchomwe, unaweza ukajichoma. Kwani petroli na kiberiti TSH ngapi?natamani niache wosia nichomwe moto usiku km hv huko kaburini sijui itakuwaje nikiwakumbuka wapendwa wangu na jf daaah sijui wale wachaga watakubali?
ntajichoma vipi na sipo kwenye uhai?Siyo mpaka uchomwe, unaweza ukajichoma. Kwani petroli na kiberiti TSH ngapi?
Okay, kwani ukiwa kwenye usingizi mzito wewe unaweza kufikiri?Ule uwezo wako kwa kufikiri, kuhisi n.k hiyo ndiyo internal observer
Wewe mawazo yakounafanana na mawazo yangu .Je wajua kuwa katika maisha ni siku mbili tu ambazo mwanadamu haishi masaa 24, siku ya kuzaliwa kwake na siku ya kufa kwake.Let's wait and see.
Unajichoma kabla hujafa.ntajichoma vipi na sipo kwenye uhai?
Well said mkuu, japo watakuja kukupinga.Wewe mawazo yakounafanana na mawazo yangu .Je wajua kuwa katika maisha ni siku mbili tu ambazo mwanadamu haishi masaa 24, siku ya kuzaliwa kwake na siku ya kufa kwake.
Potelea kwenye papuch yanguNapotea mazima.
Monetary doctor, ona huyu anachosema☝️.Potelea kwenye papuch yangu
Mei mosi 😎.secretarybird mara ya mwisho umepima choo na mkojo lini 😌!
Hizi ni nadharia tu, practically no one can tell.Kifo si mwisho wa mchakato wa uhai wetu, bali ni mlango mtakatifu unaofungua ukurasa wa mwanzo mpya na wa milele.
Mwili wa nyama unaporudi mavumbini na kukamilisha safari yake ya kibiolojia, roho haifi; inavua vazi hili la udongo lenye mipaka, maumivu, na machozi, tayari kuvuka ng’ambo ya mto wa uzima.
Huu ni wakati wa kiroho ambapo nishati ya kimungu iliyomo ndani yetu inarejea kwenye chanzo chake kikuu, ikiwa imeandaliwa kuanza safari mpya katika ulimwengu wa utukufu na mwanga usiotiwa giza.
Katika hatua hii, fahamu yetu haizimiki bali inalindwa na kufanywa upya, ikisafiri kwa amani kuelekea maskani ya milele ambako hakuna tena muda, uzee, wala uharibifu, bali ukamilifu wa upendo wa kimungu.
Nyeto nimeanza hata kabla sijazaliwa, sembuse nikiwa nmededi 🔥Ombea ufe na mikono yako itakufariji na nyeto 😂😂😂
Mm ntajua 😎😂😂, Utakuwa hujui chochote.
Kwa vipi?Mm ntajua 😎
hahaha braza chogo kaamkaMonetary doctor, ona huyu anachosema☝️.
Ntakuwa naonaKwa vipi?