Ukiachwa achika

Ukiachwa achika

Kuachwa kunauma sana halafu bora mtu akuambie basi kuliko ghafla tu mtu unaona anakubadilikia humuelewi

Utaumia mwanzoni sababu ya mazoea baade utasahau Mungu kaumba kusahau

Kuna maisha baada ya kuachwa au kuachana lazima yaendelee
 
Nimefanyiwa hiyo kitu last year mwishoni. Dada kaanza kuleta sababu hoo niko busy sijui nn.. nikambana akadai ana kifua kikuuu.. nikambana akasema masomo.. nikambana tena akasema wazaz hawanitaki. Nikaona huyu hamna lolote.. nikafuta kila kitu.

Ni bora ukamwambia mtu ukweli kuwa flani sikutaki. Mambo ya kumkaushia mtu na visingizio juu ndio yanaumiza moyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa
 
Hayo yalikua yananipa shida hapo zamani.. Siku hizi nkiona hivo namtafuta nimuulize kulikoni.
Kama hana jibu la maana tayari naziamini hisia zangu then anakula block maisha yanaendelea
Imagine nakutana na wengi wanaohitaj kuwa nami nawakataa sababu ya huyo boya mmoja..
Nimekomaa kwakweli.. Sjpelekeshwi zama hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
kama unaweza kutoka timu A na kujiunga B au C auD nk. kirahisi tu!!! Uoni kuna shida boss???
 
Hahahaaaa mzee wa vitunguu swaumu huyo usijisumbue sana
Hio ndio comment yake kwenye kila thread we mzoee tu asikupe shida.
Mimi binafsi hua nnafurahia mchango wake wa kutujazia vitunguu swaumu.

Maendeleo hayana chama
umenichekesha sanaa!!!!!?!?
 
Someone Like You"

I heard that you're settled down
That you found a girl and you're married now.
I heard that your dreams came true.
Guess she gave you things I didn't give to you.

Old friend, why are you so shy?
Ain't like you to hold back or hide from the light.

I hate to turn up out of the blue uninvited
But I couldn't stay away, I couldn't fight it.
I had hoped you'd see my face and that you'd be reminded
That for me it isn't over.

Never mind, I'll find someone like you
I wish nothing but the best for you too
Don't forget me, I beg
I'll remember you said,
"Sometimes it lasts in love but sometimes it hurts instead,
Sometimes it lasts in love but sometimes it hurts instead"

You know how the time flies
Only yesterday was the time of our lives
We were born and raised
In a summer haze
Bound by the surprise of our glory days

I hate to turn up out of the blue uninvited
But I couldn't stay away, I couldn't fight it.
I'd hoped you'd see my face and that you'd be reminded
That for me it isn't over.

Never mind, I'll find someone like you
I wish nothing but the best for you too
Don't forget me, I beg
I'll remember you said,
"Sometimes it lasts in love but sometimes it hurts instead."


*******

Hako kawimbo kanakufaa wakati huu.



Sent using Jamii Forums mobile app

Proper music on proper topiic,beautiful!!!!!?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom