Ukiachwa achika

Ukiachwa achika

Wengine kuachwa tunachukulia kama nafasi adhimu ya kupata kitu kipya na chenye uborabwa hali ya juu. Maana makosa na mdoa ya nyuma yoye unayaingiza kwenye kikokoto kuya eliminate.
 
Ohoooooo nini tena hii jamani?? Ni kweli? Dah, why? Why? Hahahaahhaa
Ni ngumu kuachwa hasa na mtu unaempenda. Wengine wanakuambia tumefika mwisho wa baraka, gari yetu ya mapenzi haiendelei na safari. Kuna wanaotoa visingizio, unakuta miezi mitatu hamjaonana wala kuwa na maongezi ya kueleweka. Kila siku atadai yuko busy. Mmh huu u busy mbona unapata muda wa kuoga kula na kulala kama mimi bado ni wa muhimu kwako.

Awe mwanamke au mwanaume. Kama amefikia hatua hiyo, ingawa ni ngumu lakini kubali matokeo. Kumbuka yeye ni mtu mzima ana sababu za kuchukua hatua hiyo.

Sasa kuna wale wa binafsi wanaotishia kunywa sumu, kulia, kujiumiza. Mpenzi wewe unafarijika kuwa nae lakini ukumbuke kuwa uwepo wako kwake si faraja tena kwake.
 
Hapo ndio sijui mama. Binafsi hawajawahi kuniona. Ila aliwaambia kuhusu mimi. Anadai kuwa wamechachamaa kuwa hawataki aolewe na mtu wa kabila langu.
Nakumbuka nili fight sana.. hata kufikia hatua ya kupeleka wazazi wangu kwao.. lakin akagoma kabisa.
Nikaona napotezw muda tu.
Kwa sababu kabila tofauti au hawajapenda kabila lako? Kuna watu bado wanataka kuoana wao kwa wao tu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ngumu kuachwa hasa na mtu unaempenda. Wengine wanakuambia tumefika mwisho wa baraka, gari yetu ya mapenzi haiendelei na safari. Kuna wanaotoa visingizio, unakuta miezi mitatu hamjaonana wala kuwa na maongezi ya kueleweka. Kila siku atadai yuko busy. Mmh huu u busy mbona unapata muda wa kuoga kula na kulala kama mimi bado ni wa muhimu kwako.

Awe mwanamke au mwanaume. Kama amefikia hatua hiyo, ingawa ni ngumu lakini kubali matokeo. Kumbuka yeye ni mtu mzima ana sababu za kuchukua hatua hiyo.

Sasa kuna wale wa binafsi wanaotishia kunywa sumu, kulia, kujiumiza. Mpenzi wewe unafarijika kuwa nae lakini ukumbuke kuwa uwepo wako kwake si faraja tena kwake.
inategemea mnaachana ktk hali gani? ya ugomvi hasira na visasi au kwa kuridhiana kwa amani tu...
 
Someone Like You"

I heard that you're settled down
That you found a girl and you're married now.
I heard that your dreams came true.
Guess she gave you things I didn't give to you.

Old friend, why are you so shy?
Ain't like you to hold back or hide from the light.

I hate to turn up out of the blue uninvited
But I couldn't stay away, I couldn't fight it.
I had hoped you'd see my face and that you'd be reminded
That for me it isn't over.

Never mind, I'll find someone like you
I wish nothing but the best for you too
Don't forget me, I beg
I'll remember you said,
"Sometimes it lasts in love but sometimes it hurts instead,
Sometimes it lasts in love but sometimes it hurts instead"

You know how the time flies
Only yesterday was the time of our lives
We were born and raised
In a summer haze
Bound by the surprise of our glory days

I hate to turn up out of the blue uninvited
But I couldn't stay away, I couldn't fight it.
I'd hoped you'd see my face and that you'd be reminded
That for me it isn't over.

Never mind, I'll find someone like you
I wish nothing but the best for you too
Don't forget me, I beg
I'll remember you said,
"Sometimes it lasts in love but sometimes it hurts instead."

*******

Hako kawimbo kanakufaa wakati huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndio sijui mama. Binafsi hawajawahi kuniona. Ila aliwaambia kuhusu mimi. Anadai kuwa wamechachamaa kuwa hawataki aolewe na mtu wa kabila langu.
Nakumbuka nili fight sana.. hata kufikia hatua ya kupeleka wazazi wangu kwao.. lakin akagoma kabisa.
Nikaona napotezw muda tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ni kwamba hawataki mtu wa kabila lako, nikajua hawataki binti yao aolewe na kabila tofauti na la kwao. Najaribu kuguess we kabila gani haha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole saaana mkuuu. Maisha lazima yaendelee mkuu
God dam you boy. Hii track inanikumbushaga machungu. My soulmate aliniachaga bila sababu out of no where akaenda olewa na jamaa wa mtaani kwetu.
Huku nikiwa natazama kwa macho yangu. Maumiv niliyapitia yalikuwa makali kias kwamba nilishindwa hata kuongea.

Nilimiamini sana, hata yeye the same. Ila mpaka leo hana jib why alinifanya vile.

But then after that nilikuwa mtu different sana. sometimes nahis part of me ilikufa na yeye.. i am not the same again. I am something else.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo ni kwamba hawataki mtu wa kabila lako, nikajua hawataki binti yao aolewe na kabila tofauti na la kwao. Najaribu kuguess we kabila gani haha

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha taifa kubwa sio. binafsi ni mix ya makabila.mawili. ila si unajua la.baba ndio linahesabika.
Sasa wazaz hawataki. Nikaona isiwe ishu maana dem mwenyewe hakuonyesha kupambania hilo suala alikaa kimya tu.
Haikuwa rizki yangu namshukuru Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom