Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,350
- Thread starter
- #441
True kama uliwekeza social, physical and psychology energy utapata tabu sana.Yah....ila wapo pia wanaotembea long mileages hadi waje kuwa sawa. Hii yote inadepend na mahusiano yalivyokuwa na umri wa mahusiano husika. So ni across issue....
Sent using Jamii Forums mobile app
Fikiria ni mume uliejenga nae nyumba na sasa inabidi mgawane mali.
