Ukiachwa achika

Ukiachwa achika

Duh mambo ya kuachana haya yanaumiza muda mwingine. Nilikuwa na mwanamke wangu aisee sikumpenda sana ila nilichoka nae sasa kila nikimuacha analia ananibembeleza namrudia nikanogewa nikamzoea sasa kuna siku akaniudhi nikakasirika sana nikamtamkia bora mapenzi yaishe kila mtu aishi kivyake sasa, yule bint alinijibu sawa kama umeamua hivyo.. Daah ikapita siku tatu mwanamke kakaza wiki kakaza mnh nilikosa raha mimi nilieacha aisee kila nikimuingia labda aniombe msamaha lakini wapi hana time mikausho dadeki ikapita mwezi miezi mwaka miaka mpaka sasa sijui yuko wapi pumbavu zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ngumu kuachwa hasa na mtu unaempenda. Wengine wanakuambia tumefika mwisho wa barara, gari yetu ya mapenzi haiendelei na safari. Kuna wanaotoa visingizio, unakuta miezi mitatu hamjaonana wala kuwa na maongezi ya kueleweka. Kila siku atadai yuko busy. Mmh huu u busy mbona unapata muda wa kuoga kula na kulala kama mimi bado ni wa muhimu kwako.

Awe mwanamke au mwanaume. Kama amefikia hatua hiyo, ingawa ni ngumu lakini kubali matokeo. Kumbuka yeye ni mtu mzima ana sababu zake katika maamuzi hayo.

Sasa kuna wale wa binafsi wanaotishia kunywa sumu, kulia, kujiumiza. Mpenzi wewe unafarijika kuwa nae lakini ukumbuke kuwa uwepo wako kwake si faraja tena.

Ndo kwanza tunapeleka watoto Shuleni, mwaka bado unasiku 361 na robo, nyuzi za kuachana zinaanza uchumi utaimarika kweli?
 
Duh mambo ya kuachana haya yanaumiza muda mwingine. Nilikuwa na mwanamke wangu aisee sikumpenda sana ila nilichoka nae sasa kila nikimuacha analia ananibembeleza namrudia nikanogewa nikamzoea sasa kuna siku akaniudhi nikakasirika sana nikamtamkia bora mapenzi yaishe kila mtu aishi kivyake sasa, yule bint alinijibu sawa kama umeamua hivyo.. Daah ikapita siku tatu mwanamke kakaza wiki kakaza mnh nilikosa raha mimi nilieacha aisee kila nikimuingia labda aniombe msamaha lakini wapi hana time mikausho dadeki ikapita mwezi miezi mwaka miaka mpaka sasa sijui yuko wapi pumbavu zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
ulivyomtosa akaumia akawa anatafuta taratibu alivyopata akaona iwe zamu yako kuumia!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom