Aiseeee !!!Afande amemlaumu sana Mungu kwa kutuonea waAfrica.
Ameshauri watanzania na waAfrica kuachana na dini za wazungu tuamini mizimu yetu na jua.
Amesema hayo akishangaa kwa nini Mungu aliyepewa kipaumbele na JPM ameshindwa kumlinda na husda za wazungu mpaka wakafanikiwa kumuondoa.
😆😆😆Bangi mbaya sana
Aiseeeeee
Kwa hiyo anatuaminisha Watanzania kuwa ni Wazungu wamemuondoa.Haya ni maneno ya uchochezi.Pia sioni ajabu alichokisema na akili yake kinafanana na jina lake (Afande) Empty BrainAfande amemlaumu sana Mungu kwa kutuonea waAfrica.
Ameshauri watanzania na waAfrica kuachana na dini za wazungu tuamini mizimu yetu na jua.
Amesema hayo akishangaa kwa nini Mungu aliyepewa kipaumbele na JPM ameshindwa kumlinda na husda za wazungu mpaka wakafanikiwa kumuondoa.
Huyo sio Afande Sele ni Mgambo Sele.Afande amemlaumu sana Mungu kwa kutuonea waAfrica.
Ameshauri watanzania na waAfrica kuachana na dini za wazungu tuamini mizimu yetu na jua.
Amesema hayo akishangaa kwa nini Mungu aliyepewa kipaumbele na JPM ameshindwa kumlinda na husda za wazungu mpaka wakafanikiwa kumuondoa.
Empty Brain.Ikifika siku,saa,dakika,sekunde lazima uondoke kama alivyoondoka.Ukitaka kuthibitisha rejea walivyommiminia risasi kule Dodoma,lakini wapi,anadunda na anawasumbua ile mbaya.Siku yake ilikuwa bado.Acha ujinga wazungu watahangaika naye wa nini,kwani ana nini cha kutisha.Andika kwa kutumia akili na sio kwa kutumia.....................yako.Kwa Magu hata mimi imeniuma sana.. akili yangu inahisi ameuwawa kwa biological weapon.
Usalama wa taifa wamezidiwa ujanja na wazungu
mh, Lissu anansumbua Nan sasa hiviEmpty Brain.Ikifika siku,saa,dakika,sekunde lazima uondoke kama alivyoondoka.Ukitaka kuthibitisha rejea walivyommiminia risasi kule Dodoma,lakini wapi,anadunda na anawasumbua ile mbaya.Siku yake ilikuwa bado.Acha ujinga wazungu watahangaika naye wa nini,kwani ana nini cha kutisha.Andika kwa kutumia akili na sio kwa kutumia.....................yako.