Leo Ramadhani siku ya tano Afande Sele bado yupo hai. Je, ni kweli Albadiri inaweza kudhuru mtu?

Leverage

JF-Expert Member
Jan 25, 2021
2,125
3,130
Albadiri ilisomwa na KISHKI ili afande Sele afe kabla ya Ramadhani lakini bado anaendelea kudunda.

Je, ni kweli Albadiri inaweza kuua mtu au ni hadithi tu? Kwenye uzoefu wako umeshawahi kusikia mtu kafa kwa albadiri. Tupe uzoefu wako.

Pia soma

 
Mungu hawezi kuchezewa hivyo! Mungu ni upendo na upendo hauwezi kulipiza kisasi. Mungu anataka wanadamu wasameheane (maana wote wanakosea katika mambo mbalimbali) na hakuna anayeweza kumwombea mtu mwingine mabaya Mungu akasikiliza sala au dua yake. Full stop!
 
Back
Top Bottom