Ujumbe wa Afande Sele akimlilia Hayati Magufuli

Kuna nyimbo ya afande sele aliimba mda inaitwa dini ukiisikiliza kwa makini utajua kabisa jamaa hana dini yupo yupo Bora siku ziende
basi hujausikilza kwa makini, lakini yote aliyoongeaa kweny huo wimbo Ni ya kweli kabisa.
Kwani Ni uongo kwamba waafrika dini tumeletewa na watu weupe??
Je una fahamu kwamba nchi km China,Korea hakuna ukristo Wala uislam?
Je wewe ulieletewa dini una ufaham Zaid kuwazid wao?
Soma kuwa mdadisi
 
Baba yenu sikubaliani na matusi ila nina angalizo. Afrika, kabla ya kuletewa hizi dini za kiarabu na kiyahudi za akina Yehova na Allah, ilikuwa safi na tulivu. Lakini baada ya kuja dini hizi nyemelezi, mara tukapelekwa utumwani. Mara tukaletewa ukoloni, ubaguzi na kila aina ya jinai. Kimsingi, dini hizi ndizo zillizotumiwa na wazungu kutulainisha na kutupeleleza tayari kwa kututawala. Kwenye kifo cha Magufuli, ni kifo kama kingine. Kwanini Mkapa afe kwa shinikizo isiwe sababu? Tuamini kuwa kila mtu atakufa na hatujui atakufaje.
 
Kwa Magu hata mimi imeniuma sana.. akili yangu inahisi ameuwawa kwa biological weapon.

Usalama wa taifa wamezidiwa ujanja na wazungu.

Najiuliza why yeye na msaidizi wake kijazi wafariki ndani ya muda mfupi kwa ugonjwa mmoja.. nahisi mtego waliotegwa na wakanasa ulikuwa unaenda kuvunja moyo kufanya kazi.. sitashangaa akifa mwingine kwa moyo tena
Hizi ndio akili fupi fupi za watanzania walizopandikiziwa na Magufuli. Wao kila wakipata baya wanawaza kuwa wazungu ndio wamewaletea.

Sote tunajua Corona kwa sasa ndio inayouwa watu kirahisi sana. Wataalamu wamesema tuchukue tahadhari zote muhimu, Magufuli yeye anasema hakuna haja sana ya kuchukua tahadhari maana Tanzania hakuna Corona! Alikuwa anasema tujifukize na kunywa zile togwa za waganga wa kienyeji.

Haya sasa Corona imemtandika fresh na kumuua, nani tumlaumu?
 
basi hujausikilza kwa makini, lakini yote aliyoongeaa kweny huo wimbo Ni ya kweli kabisa.
Kwani Ni uongo kwamba waafrika dini tumeletewa na watu weupe??
Je una fahamu kwamba nchi km China,Korea hakuna ukristo Wala uislam?
Je wewe ulieletewa dini una ufaham Zaid kuwazid wao?
Soma kuwa mdadisi
Historia ya kizazi chetu na ya babu zetu ni tofauti wao walikuwa na tamaduni zao na Sisi tumekuta tamaduni zetu kwa hiyo naamini nilichikiona au kukikuta hayo mambo kwamba tumeletewa ndio tusiamini siungi mkono hoja na china kutokuwa na dini hainizuii mimi kuamini ninachikiamini.
 
Hizi ndio akili fupi fupi za watanzania walizopandikiziwa na Magufuli. Wao kila wakipata baya wanawaza kuwa wazungu ndio wamewaletea.

Sote tunajua Corona kwa sasa ndio inayouwa watu kirahisi sana. Wataalamu wamesema tuchukue tahadhari zote muhimu, Magufuli yeye anasema hakuna haja sana ya kuchukua tahadhari maana Tanzania hakuna Corona! Alikuwa anasema tujifukize na kunywa zile togwa za waganga wa kienyeji.

Haya sasa Corona imemtandika fresh na kumuua, nani tumlaumu?
Hujui kitu wewe Magu kauliwa na mabepari.
 
Historia ya kizazi chetu na ya babu zetu ni tofauti wao walikuwa na tamaduni zao na Sisi tumekuta tamaduni zetu kwa hiyo naamini nilichikiona au kukikuta hayo mambo kwamba tumeletewa ndio tusiamini siungi mkono hoja na china kutokuwa na dini hainizuii mimi kuamini ninachikiamini.
Yani wewe huamini kama dini umeletewa?
Wewe unafikiri tungetawaliwa na wachina bado kungekuwa na ukristo na uislam? maybe sasa hivi wote tungekuwa buddha.
 
Mkuu Corona ipo ila hao jamaa wanahusika kwenye hilo tukio kuna mdau kaelezea vizuri athari za kauli zake alizokuwa akizitoa kuhusu korona
 
Yani wewe huamini kama dini umeletewa?
Wewe unafikiri tungetawaliwa na wachina bado kungekuwa na ukristo na uislam? maybe sasa hivi wote tungekuwa buddha.
Soma vizuri mkuu sijasema siamini kama tumeletewa ila nazungumzia mabadiliko ya waliopita na kizazi chetu ni tofauti inawezekana hata baadae watu wakaamini sheria na taratibu za freemasons ni mda tu mkuu na mabadiliko ya generation katika kila zama
 
ok nimekupata mkuu
 
Kwa Magu hata mimi imeniuma sana.. akili yangu inahisi ameuwawa kwa biological weapon.

Usalama wa taifa wamezidiwa ujanja na wazungu.

Najiuliza why yeye na msaidizi wake kijazi wafariki ndani ya muda mfupi kwa ugonjwa mmoja.. nahisi mtego waliotegwa na wakanasa ulikuwa unaenda kuvunja moyo kufanya kazi.. sitashangaa akifa mwingine kwa moyo tena
Mkuu
Bado huamini kama hakuna corona? Kuna picha inazunguka huku mtandaoni wapo wanne , watatu kati yao walifatiki kwa changamoto za kupumua (a new clinical name) tuliloamua kujipa kureplace corona .

Lawama ni chaguo pekee kama hutaki kuukubali ukweli
 
Historia ya kizazi chetu na ya babu zetu ni tofauti wao walikuwa na tamaduni zao na Sisi tumekuta tamaduni zetu kwa hiyo naamini nilichikiona au kukikuta hayo mambo kwamba tumeletewa ndio tusiamini siungi mkono hoja na china kutokuwa na dini hainizuii mimi kuamini ninachikiamini.
kwa hiyo unaamini kitu kwa sabab umekikuta, sio!? Sasa unajuaje km Ni sahihi au si sahihi Kama hutaki kuwa mdadisi.
Na kwanin uone afande selle hayupo sahihi?
 
Soma vizuri mkuu sijasema siamini kama tumeletewa ila nazungumzia mabadiliko ya waliopita na kizazi chetu ni tofauti inawezekana hata baadae watu wakaamini sheria na taratibu za freemasons ni mda tu mkuu na mabadiliko ya generation katika kila zama
Basi mwache Sele aamini anachoamini kwa sabab wewe mwenyewe huna uhakika na unachokiamini
 
Kwa Magu hata mimi imeniuma sana.. akili yangu inahisi ameuwawa kwa biological weapon.

Usalama wa taifa wamezidiwa ujanja na wazungu.

Najiuliza why yeye na msaidizi wake kijazi wafariki ndani ya muda mfupi kwa ugonjwa mmoja.. nahisi mtego waliotegwa na wakanasa ulikuwa unaenda kuvunja moyo kufanya kazi.. sitashangaa akifa mwingine kwa moyo tena
Amekufa kwa uzembe wa wasaidizi wake.

Wanajua alikua na magonjwa chungu nzima wao wanamuacha anazarau sayansi na kutukuza mbinu za kienyeji kupambana na Corona, anazurura havai mask, ana misimamo ya kinjekitile.
 
Basi mwache Sele aamini anachoamini kwa sabab wewe mwenyewe huna uhakika na unachokiamini
Cha msingi sayansi haiongopi.
Mnaambiwa mkiwa kwenye mikusanyiko mvae barakoa mnaleta ubishi na kuwasimanga viongozi wa dini wanaotoa angalizo.
Sasa mzee ameleta imani za kinjekitile kwenye Corona ameenda na maji alafu mvuta bange mmoja anakuja kulia-lia eti wazungu wamemuua.
Sayansi haiongopi.
 
Back
Top Bottom