Ujumbe wa Afande Sele akimlilia Hayati Magufuli

Mwambieni afande sele aache bangi zake hizo,nchi hii ina watu zaidi ya M 60 wapi watakaoingoza kwa mafanikio zaidi ya Magufuli all in all CCM ilishashindwa kuongoza nchi hii tangu uhuru. Hakuna jipya zaidi ya Katiba mpya
 
Afande amemlaumu sana Mungu kwa kutuonea waAfrica.

Ameshauri watanzania na waAfrica kuachana na dini za wazungu tuamini mizimu yetu na jua.

Amesema hayo akishangaa kwa nini Mungu aliyepewa kipaumbele na JPM ameshindwa kumlinda na husda za wazungu mpaka wakafanikiwa kumuondoa.
Aiseeee !!!
 
Kwa hiyo anatuaminisha Watanzania kuwa ni Wazungu wamemuondoa.Haya ni maneno ya uchochezi.Pia sioni ajabu alichokisema na akili yake kinafanana na jina lake (Afande) Empty Brain
 
Kwa Magu hata mimi imeniuma sana.. akili yangu inahisi ameuwawa kwa biological weapon.

Usalama wa taifa wamezidiwa ujanja na wazungu
Empty Brain.Ikifika siku,saa,dakika,sekunde lazima uondoke kama alivyoondoka.Ukitaka kuthibitisha rejea walivyommiminia risasi kule Dodoma,lakini wapi,anadunda na anawasumbua ile mbaya.Siku yake ilikuwa bado.Acha ujinga wazungu watahangaika naye wa nini,kwani ana nini cha kutisha.Andika kwa kutumia akili na sio kwa kutumia.....................yako.
 
Mimi ni msanii (mimi ni msanii)
Kioo cha jamii (kioo cha jamii)
Mimi naona mbali (mimi naona mbali)
Kwa darubini kali (kwa darubini kali)
IMG_5095.jpg
 
Empty Brain.Ikifika siku,saa,dakika,sekunde lazima uondoke kama alivyoondoka.Ukitaka kuthibitisha rejea walivyommiminia risasi kule Dodoma,lakini wapi,anadunda na anawasumbua ile mbaya.Siku yake ilikuwa bado.Acha ujinga wazungu watahangaika naye wa nini,kwani ana nini cha kutisha.Andika kwa kutumia akili na sio kwa kutumia.....................yako.
mh, Lissu anansumbua Nan sasa hivi
 
Back
Top Bottom