Ujumbe kwa wanaume

Ujumbe kwa wanaume

Mother con
Ukilitafakari neno la upumbavu utapata jibu,kwanza ile siku anayoamua kukupa cheo cha upumbavu ndio siku anayoacha kukupenda. Sasa anakuchukulia kama mtu dhaifu anaehitaji msaada
Kwahiyo ww hata ukienda cambodia ukarudi kama mbwa wa kienyeji atakupokea tu atakulisha ukaendelee na mambo yako uko'
Let asshole be asshole u'll sleep better
Wakati mwingine kuacha mwanaume sababu ya kucheat ukaenda kwa mwanaume mwingine eti huyo ametulia nikujidanganya,kama unataka kuingia kwenye ndoa lazima uwe na akili timamu
 
Tatizo wanaume wa siku hizi mnaoa kwa tamaa hamuoi kwa mapenzi tena hivi wewe binadamu gani unataka ufanye kila siku eti kisa umeoa? Kwani ndoa ni kufanya tu? Aisee kwenye swala la ngono kweli shetani amefankiwa kuiteka dunia

Ila kwa huyo mwanamke ambaye hata mara moja kwa mwezi anaona kero mwanaume wake anatakiwa kukaa chini kujaribu kuongea naye ila siyo wale wanaume hata siku nne tu ambazo mkewe yuko kwenye hedhi eti yeye hawezi kuvumilia khaa
I can now see your concern
 
Nimetaka kujua tu kwanza, maana kuna mambo huyajua zaid kwa experience sio kwa kuyaskia su kuyaona tu kwa macho
Sijaolewa bado ila hiyo hainizuii kujua mambo mengi maovu yanayofanywa na wanaume na hiyo mbona inajulikana yaani wanaume kwenye swala la kuchepuka wanajifanyaga wametia nta kwenye masikio
 
Wakati mwingine kuacha mwanaume sababu ya kucheat ukaenda kwa mwanaume mwingine eti huyo ametulia nikujidanganya,kama unataka kuingia kwenye ndoa lazima uwe na akili timamu
Kwahiyo hata wewe hauwezi kuacha mwanamke kwa sababu ya kucheat?
 
Sijaolewa bado ila hiyo hainizuii kujua mambo mengi maovu yanayofanywa na wanaume na hiyo mbona inajulikana yaani wanaume kwenye swala la kuchepuka wanajifanyaga wametia nta kwenye masikio
Okey!

Some other things you normally learn with time!
 
Mfano mdogo tu ambao unaweza kuwa nje ya context, na nimeamua kukuletea huo ili usije ukaanza kufkiria tofauti.

Siku moja nimefika dar nkapanda mwendokasi, nkakutana na mshkaji ambae nilipiga nae o'level ambae back then alikuwa akijiona yeye ndio "mwana" if you know what I mean. Aliwasumbua sana walimu na kila aliloambiwa aliwaona watu wote hawajui.

Sisi alituita watoto wa mama na yeye ndio mjanja, basi tulikutana kwenye mwendokasi kachoka balaa. Mimi nlikuwa naelekea manzese na yeye anaelekea kimara huko but ile ongea ongea akaamua kushuka nami pale manzese, tukaongea na akanielezea regrets zake na namna alivyopoteza muelekeo. Akaniambia anavyojutia maisha yake alivyoyaishi and stuffs like that.

Hakuweza kuelewa back then, but with time now anaelewa. So hata kwako, there are some stuffs you can't understand now. Especially when we talk about marriage considering you are not married.
 
Hilo la wanawake kubadilika kwenye ndoa na kuwa tofauti na kwenye uchumba mmelitaka wenyewe wanaume kwa sababu wanawake ambao wamefikisha miaka 30 au zaidi na hawajaolewa mnawaperceive vibaya tofauti na wanaume wenye miaka 30 na kuendelea na hawajaoa na hakuna binadamu anayependa jamii imfikirie vibaya

Hivyo hii inapelekea wanawake kutaka ndoa sana kuliko wanaume kwahiyo wakipata wachumba wanajaribu kufanya kila kitu ambacho wanaume wanataka ili tu hao wanaume wawaoe sasa wakishaolewa si tayari azma yao ya kuolewa imetimia kwanini waendelee tena kujituma kama kwenye uchumba wakati walichokihitaji wameshakipata?
Deception!
 
Thread hii inahusu jinsi maisha yalivyo kwa upande wa mchepuko - kukosa furaha. Inabidi iwekewe poll ili kujua uzito wa jambo hili.
 
Kwenye huu Uzi nimependa kitu kimoja tu,kile kitendo cha kuukiri ukweli kuwa wanaume wote tunachepuka. Na huu ukweli haupingiki..sisi wenyewe wanaume ukituuliza kwa nn tunachepuka!? Hakuna jibu la maana,huwa tunajikuta tu. Kwa mfano mimi, nampenda kweli mke wangu,lkn huwa najikuta nachepuka na nikichepuka najisikia vibaya kabisaa! Hapa sasa hv nimetoka kumblock mchepuko ambaye nimempita jpili. Naona anataka kuleta mazoea, nimemwambia me nampenda sana mke wangu,ndiyo maana nilivyokuwa na wewe nilikulipa kabisa,kisha nimemblock. Ngoja nitulie tena hata miezi 2 sijui ntaweza!!!??
Hatari sana mzee baba
 
Mfano mdogo tu ambao unaweza kuwa nje ya context, na nimeamua kukuletea huo ili usije ukaanza kufkiria tofauti.

Siku moja nimefika dar nkapanda mwendokasi, nkakutana na mshkaji ambae nilipiga nae o'level ambae back then alikuwa akijiona yeye ndio "mwana" if you know what I mean. Aliwasumbua sana walimu na kila aliloambiwa aliwaona watu wote hawajui.

Sisi alituita watoto wa mama na yeye ndio mjanja, basi tulikutana kwenye mwendokasi kachoka balaa. Mimi nlikuwa naelekea manzese na yeye anaelekea kimara huko but ile ongea ongea akaamua kushuka nami pale manzese, tukaongea na akanielezea regrets zake na namna alivyopoteza muelekeo. Akaniambia anavyojutia maisha yake alivyoyaishi and stuffs like that.

Hakuweza kuelewa back then, but with time now anaelewa. So hata kwako, there are some stuffs you can't understand now. Especially when we talk about marriage considering you are not married.
Sasa ndo nimeomba mifano ya hayo mambo ambayo nitayaelewa 'with time' wewe niambie tu maana maneno yangu siyo sheria na mimi sijasema kwamba kila ninaloamini mimi ni sawa so whatever I say I always stand to be corrected where I am wrong
 
Back
Top Bottom