Kwahiyo unataka kusema kwamba mkeo akiwa anakupa wakati wowote unaotaka hautachepuka?Ndio hivyo mkuu...na tunaochepuka kwa akili familia zetu muda wote zinafuraha,kwa sababu humsumbui bi mkubwa na yeye atakupa akiwa na hamu na wewe tu.Pia na wewe unakuwa umepunguza mzigo huko pembeni na unakuwa umeondoa stress
Unavyoongea utasema hizo haja zenu mnaenda kuzimalizia kwa wanyamaUnawashauri wanaume tena kama unawajua kuliko wanavyojijua.
Kwa taarifa yako mwalimu wa mapenzi wa mwanaume ni sehemu zake za siri na sio mwanamke na kwa msaada zaid mwanamke anaweza kumsadia mwanaume kwenye maombi tu tena ukimuomba kwa adabu na unyenyekevu aliyemuumba mwanaume amdhibiti kiumbe wake na sio hata mzazi wake.
Yaani kabisa unatoka mbele kabisa kuwashauri wanaume kuhusu wanawake?? Mwanaume hashauriwi kuhusu mapenzi ila matokeo ya mapenzi ndio mwalimu wa mwanaume.
Kwahiyo unataka mama ahangaike na watoto na bado ahangaike na wewe tena kwani wewe hao watoto hauna muda nao?ha ha ha mnapenda kudekezwa,ila ukimdekeza yule anayeongoza familia lazima amani na utulivu uwepo na kicheko kinakuwepo muda wote;mfano mwanaume akiwa home anatakiwa achukuliwe kama mtoto mdogo
Unavyoongea utasema hizo haja zenu mnaenda kuzimalizia kwa wanyama
Kuna watu wana mioyo jamani chaaah!!!Wengine wanachepuka mpaka wanahama kabisaa na mji,.siku mambo yameenda alijojo unamuona huyo anarudi kwa mkewe kanyonyoka hana hata mia mfukoni,.ukurutu na kupe vimemganda mpaka kwenye kope,.hapo utamsikia "wewe ni mke wangu hata iweje nisamehe tuu" kirahisirahisi tuu chee...ukimpokea ukampikia uji wa lishe siku 2 tuu huyoooo kwa mama Afghanistan tena..lol...wanawake mnaovumilia huu ujinga in the name of ndoa aseee mtahitaji tuzo za Nobel..na nahisi mtakuwa na pepo ya pekeenu mbinguni.

Ndiyo mtu anayechepuka naye ni wa kumheshimu sasa?inaonekana umetudharau kweli,eti haya unadhani yanaelewaga kwani
Kuna mama hadi leo huwa hapendi kuishi mji/mkoa mmoja na mumewe maana hawezi kupretend kumheshimu mumewe kila siku, atleast hizo w.end wanazokuwa pamoja. Na ni watu wazima haswa.Na hakuna kitu kibaya kama mwanaume uCheat alafu mke akuone kama mpumbavu
Ndo shida hio unadhani anaekuibia anatoka mbali basi.adui ya mwanamke ni mwanamke mwenyewe, hawa waume zenu wanachepuka kwa wanawake wenzenu tena wakifahamu kabisa ni mme wa mtu fulani, mkikaa kikao kikubwa mkaonyana hili wanaume watashindwa kabisa.
Wanaume wanao kubaliwa na Mipango ya kando wengi wao huwa hawana Akili.
Mwanaume mwenye Akili ni ngumu sana kukubaliwa uku ukiwa unajulikana umeoa.
Kuliko kuwa na Mpango wa kando bora muda wangu nipoteze kwenye kuvuta Bange weee mpaka jicho liwe Nyanya.




Ila wanaume mnapenda kushindana na mlikotoka jamani na bado hamjawahi kupashinda siku mkipashinda mtushitue wanawake basiBinadamu naye ni mnyama, halafhu haja zetu hazina mahusiano na ushauri wenu
Ila wanaume mnapenda kushindana na mlikotoka jamani na bado hamjawahi kupashinda siku mkipashinda mtushitue wanawake basi
Basi usishaurike endelea na hio mentality yako ya kitoshaurika mkuu.
Jilishe tu upepo hakuna atakae kuombea kabisa.
Ukichoka utakaa kitako
I have never cheated and I won't cheat when I get my happiness, my sweetness since I don't want to break her heart. What I will do is to make her looks gorgeous day after day.Ofcourse all of you who cheat
Eti anasema wanapomalizia haja zao hapahusiani na ushauri tunaowapa smhMkuu ede nisaidieyani anajiona kama Amercan ninja vile
Ila wanaume mnapenda kushindana na mlikotoka jamani na bado hamjawahi kupashinda siku mkipashinda mtushitue wanawake basi