Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,485
Si ndo mnavyojidanya wakati ukweli mchungu mnaujua na hamtaki kuukubali basi endeleeni hivyo hivyoNdio tulivyoumbwa na sio kuwa tunashindana na hiyo sehemu.
Ndio maana nimesema mwalimu wa mwanaume ni sehemu zake za siri tu na sio mwanamke mwenye hiyo kitu.


