Ujumbe kwa wanaume

Ujumbe kwa wanaume

Hili ni janga la dunia ukikuta mwanamke mpumbavu mwanaume wake ametulia mwanaume mpumbavu mwanamke ametulia sasa nan? Anaonewa mbona pande zote kuna vilio vya mapenzi.
 
Mengine sio mapungufu no kutojielewa akishaolewa anajua amemaliza kazi,kuna wanawake wanawapangia waume zao ratiba.
Hapo mwanaume mwenye akili hawezi kuhangaika na wewe.
Kwa sababu gani kwa sababu ya mapungufu yetu au kwani nyie hamna mapungufu yenu? Kwahiyo unataka kusema kuwa na nyie mnapokuwa na mapungufu yenu na sisi tuwacheat si ndiyo?
 
Mengine sio mapungufu no kutojielewa akishaolewa anajua amemaliza kazi,kuna wanawake wanawapangia waume zao ratiba.
Hapo mwanaume mwenye akili hawezi kuhangaika na wewe.
Hiyo siyo sababu pekee zipo sababu nyingi ambazo wanaume mnasema ndo zinawafanya mchepuke nyingine hazina kichwa wala miguu mimi naona mnafanyaga makusudi tu ila mnatumia mapungufu ya wake zenu kama ndo sababu
 
Ni kweli sababu ni nyingi ila kila mtu anasababu yake kucheat ikiwemo hiyo niliitaja.
Wengine ni ktk kubadilisha ladha tu,ila wengine wanasababu za msingi.

Huu uzi huu,wanawake watakuwa wamekaa kikao cha dharula,maana si kwa mapovu haya tunayopewa,na mtoa post ilitakiwa useme baadhi ya wanaume sio unatujulisha wote wakati wengine sisi tumetulia na ndoa zetu mpaka vyombo tunawasaidia wake zetu kuosha
 
Sasa mimi nawaongelea hao wanaobadilisha ladha tu wengi wao nao wakiulizwa kwanini wanachepuka wanasema eti wake zao ndo chanzo ndo hapo utagundua kuwa wanaume wengi wanaosema wanachepuka sababu ya wake zao ni waongo yaani wanawatumia wake zao kama chambo tu ila wanawake tunasingiziwa jamani looh

Asubutuu
 
Inatakiwa usimpe mwanaume wako sababu ya kucheat,ukimpa sababu ananogewa si unajua tena mko tofauti.

Lingine my nigga's wanawake wa sikuizi wanaroga,mtarogwa msahau future zenu na wake zenu/watoto/familia zenu!
Alhamdulillah tangia kumekucha saizi ndi nimeokotamo kapoint JF
 
Jamani sasa si umesema kuwa kuna wanaume wanacheat ili tu kubadilisha ladha? Kwa maana hiyo ni kwamba wapo wanaume ambao wake zao wanajitahidi kuwafanya wasichepuke ila hao wanaume bado wanachepuka hao nao unawaongeleaje

Naomba usiniambie habari za tamaa tafadhali maana hadi umeamua kuoa maana yake umekubali kuishinda hiyo tamaa ndo maana maandiko yanasema mume mpende mkeo na kumpenda ni pamoja na kutokumsaliti achana na hizo imani zenu kwamba eti mwanaume anaweza akamsaliti mkewe na bado akampemda hakuna kitu kama hicho
Inatakiwa usimpe mwanaume wako sababu ya kucheat,ukimpa sababu ananogewa si unajua tena mko tofauti.
 
Ndiyo wanaume wa siku hizi nyie ambao kila kitu mnachofanya mnadhani wake zenu wanawapanda vichwani? Nhee
Yote mnasababisha nyie kisha mnaanza kulalama,mwanaume anakusaidia kwa upendo wewe unageuza kuwa ni wajibu wake na kisirani juu ,sasa unadhani akimpata anaetambua thamani ya Mme lazime mpango wa kando utimie
 
Hongera mkuu daah
Mwanamke ukiwa kwenye ndoa angalia unatimiziwa mahitaji yako. Wajibu Wa Mme ni kuhakikishia familia, kula, kuvaa, watoto wanaenda shule na mambo mengine. Ukitaka kujua mmeo anamicjepuko mingap mtafariki Wa bp kila Siku.
Wanaume tuna huruma sana, huko nje kuna wanawake wenzenu tukiwaacha wataadhirika, so tunajitahidi kuwaweka Sawa na Kwa Mungu tuna thawabu.
 
Mkuu kama siku hizi kutafuta pesa na kuhudumia familia imekuwa ni jukumu la wote kwanini na kufanya kazi za ndani na kulea familia lisiwe ni jukumu la wote pia? Kuna ubaya gani hapo?
Yote mnasababisha nyie kisha mnaanza kulalama,mwanaume anakusaidia kwa upendo wewe unageuza kuwa ni wajibu wake na kisirani juu ,sasa unadhani akimpata anaetambua thamani ya Mme lazime mpango wa kando utimie
 
Nielekeze mahala nikabatilishe kauli
Ila mkuu kama umetulia huu uzi utakua haukuhusu . Ila nashukuru kama wanaume kama nyinyi mpo
Huu uzi huu,wanawake watakuwa wamekaa kikao cha dharula,maana si kwa mapovu haya tunayopewa,na mtoa post ilitakiwa useme baadhi ya wanaume sio unatujulisha wote wakati wengine sisi tumetulia na ndoa zetu mpaka vyombo tunawasaidia wake zetu kuosha
 
Huu Uzi Ni ushauri au Ni story ya tukio lililotendeka?
 
Back
Top Bottom