Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Mkuu sijakupa andiko hilo tu nimekupa hadi hilo linalosema aziniye na mwanamke hana akili hilo nalo linamlenga mwanamke peke yake eti? Hahahaha yaani maandiko yanayomkataza mwanamke kuzini ndo sahihi ila yanayomkataza mwanaume kuzini ni ya kihuni?Mkuu hebu pitia hilo andiko hapo, nikipata muda nitakuwekea mengine. Nimekuambia Biblia iliandikwa kwa kuwakandamiza wanawake. Hapo inasema,mwanamke ukiolewa hadi huyo mwanaume afe ndo utaruhusiwa kuolewa. Lkn ukifanya hata km umeachana na huyo mwanaume utakuwa unazini. Lkn haijasema kuhusu huyo mwanaume. Halafu kuhusu Amri inayoitwa ya 9 na kanisa katoliki imeandikwa kihuni tu ile imeelezwa kwa kirefu na ndo amri ya 10 nakuwekea hapa pia. Ile Amri inakataza kutamani kitu chochote cha jirani yako akiwemo mke wa jirani yako,isome hapo utaona!!View attachment 1120117View attachment 1120130
Aisee kwenye biblia wanaume hmachomoki kwa sababu bado sijaona wala kusikia andiko linalomruhusu narudia tena linalomruhusu mwanaume kuzini wala kuoa mke zaidi ya mmoja bishana na maandiko siyo mimi tena