Ngalale
JF-Expert Member
- Mar 24, 2017
- 248
- 279
Haya unadhani yanaelewaga kwani


Yaaani hatuelewagi kwakwel, kama vile shweitanii katushika mapembeHaya unadhani yanaelewaga kwani


Yaaani hatuelewagi kwakwel, kama vile shweitanii katushika mapembeMimi mtu akianza kudanganya kuhusu hofu ya Mungu ndio kabisa namkwepa.Sio kwamba watu wote ni mashetani km munavyo fikiria wapo wenye pesa na afya nzuri wanao heshimu ndoa zao napia wana hofu ya kumkosea Mungu.
HOFU YA MUNGU NI MUHIMU SANA KWA MWANADAMU
Kutokuwa sawa na wanawake na kuwadharau wanawake ni vitu viwili tofauti binadamu hatuko sawa na Mungu lakini Mungu hajawahi kutudharau sasa niwashangae nyie wanaume sijui mnajihisi ni akina nani haswa kutudharau wanawake kwa kisingizio cha kuwa hatuko sawa tuko chini yenu hata Mungu anawashangaaMkuu,nilishakuambia mwanamke usijilinganishe na mwanaume.
Akili zetu haziko sawa.
Wala ashki zetu hazipo sawa.
Really? Not you who are lying to us?Hivi, umeolewa?
Naona una mawazo fulani ya very unique world ambayo haipo kwa maisha uliyopo.
You are lying to yourself.
Kwa mantiki hiyo unamaanisha kwamba hata wanawake nao wachepuke tu wanavyotaka wasiangalie dini wala dunia inasema nini?Mimi mtu akianza kudanganya kuhusu hofu ya Mungu ndio kabisa namkwepa.
Bahati nzuri nimekaa na wanadini wa Aina mbali mbali.
Nikaconclude tu kuwa dini ni namna tu wanadamu tumeamua kutishiana duniani.
Hawa wanaoongea habari za hofu ya Mungu Ni wachafu balaa.!!
Sawa Vi rendraNmeongelea swala la kucheat tu sio mengine
Bonge la pointUshauri mzuri;kwa tunaojielewa huwa tunaakikisha 3/4 ya mapato ni kwa bi mkubwa pamoja na maendeleo,na 1/4 ni kwa michepuko na starehe,na mchepuko ili ufaidi matunda yangu lazima nimjaze tumbo (wako wawili tu);kuhusu kulogwa,nilishawaambia watu wangu wa karibu pamoja na bi mkubwa,kama nitakuwa tofauti kimaamuzi,inabidi waingie kazini.



Mkuu hebu pitia hilo andiko hapo, nikipata muda nitakuwekea mengine. Nimekuambia Biblia iliandikwa kwa kuwakandamiza wanawake. Hapo inasema,mwanamke ukiolewa hadi huyo mwanaume afe ndo utaruhusiwa kuolewa. Lkn ukifanya hata km umeachana na huyo mwanaume utakuwa unazini. Lkn haijasema kuhusu huyo mwanaume. Halafu kuhusu Amri inayoitwa ya 9 na kanisa katoliki imeandikwa kihuni tu ile imeelezwa kwa kirefu na ndo amri ya 10 nakuwekea hapa pia. Ile Amri inakataza kutamani kitu chochote cha jirani yako akiwemo mke wa jirani yako,isome hapo utaona!!Mkuu hebu usinichoshe kuhangaika kutafuta andiko ambalo halipo hakuna andiko linalomruhusu mwanaume kumsaliti mkewe wala kuoa mke zaidi ya mmoja ila nimeshakwambia kuna maandiko yamekataza uzinzi bila kuspecify jinsia
Mfano kuna hilo la usizini kuna andiko linasema ndoa na iheshimiwe na watu wote wazinzi na waasherati Mungu atawahukumia adhabu kuna andiko linasema usitamani mke wa jirani yako tena hiyo ni amri na kuna andiko linasema aziniye na mwanamke hana akili tena hapo kwenye hayo maandiko mawili ya mwisho ndo nimekufunga kabisa maana hapo anayeongelewa ni mwanaume
Basi njoo unifundishe jinsi nya kuchepuka vizuri bila kuleta ajali.Nimwambie nani mkuu
Hapa nilipo hata bwana sina
Kasheshe iko kwenye kuijua njia ya kuja huko,Njoo ntakufundisha
Ndo atakapojiona mpumbavuNikija kuolewa nikajua mme wangu anacheat.
1.naanza kutumia condom
2.nakuwa simjali tena
3.Nakuwa kama zuzu ili mradi nipo.
4.Hata asiporudi sihangaiki kiufupi atakuwa ameshakufa kwangu.
5.Yaani natafuta safari za gafla na pia home kukaa ni kwa muda mfupi tu.
Natafuta hata kazi ya mbali.
Basii.
YesNdo atakapojiona mpumbavu
Huku nilipo kuna mmama mmoja kafanya hivyoNikija kuolewa nikajua mme wangu anacheat.
1.naanza kutumia condom
2.nakuwa simjali tena
3.Nakuwa kama zuzu ili mradi nipo.
4.Hata asiporudi sihangaiki kiufupi atakuwa ameshakufa kwangu.
5.Yaani natafuta safari za gafla na pia home kukaa ni kwa muda mfupi tu.
Natafuta hata kazi ya mbali.
Basii.
Sasa mtajiju dah !!Huku nilipo kuna mmama mmoja kafanya hivyo
kiufupi mchepuko ndo umekuwa mother house.