Ujumbe kwa wanaume

Ujumbe kwa wanaume

Shida sio kutulia. Tukiamua kutulia na kuwa busy na shughuli kwaajili ya familia hamchelewi kugongwa na houseboy au Bodaboda..

Mnasahau kwamba tukiamua mbwaimbwai hapatakalika
Hahahaha ila wanaume bwana nyie si ndo kutwa kupiga kelele kwamba mwanamke hatakiwi kumlipizia mwanaume makosa yake? Sasa mbona na nyie mnafanya yale yale?
 
Sawa
Jamani sasa si umesema kuwa kuna wanaume wanacheat ili tu kubadilisha ladha? Kwa maana hiyo ni kwamba wapo wanaume ambao wake zao wanajitahidi kuwafanya wasichepuke ila hao wanaume bado wanachepuka hao nao unawaongeleaje

Naomba usiniambie habari za tamaa tafadhali maana hadi umeamua kuoa maana yake umekubali kuishinda hiyo tamaa ndo maana maandiko yanasema mume mpende mkeo na kumpenda ni pamoja na kutokumsaliti achana na hizo imani zenu kwamba eti mwanaume anaweza akamsaliti mkewe na bado akampemda hakuna kitu kama hicho
 
Mkuu wangu mm nadhani sio mikiki ni mentality yenu tu
Sasa mkuu kama mimi kufanya tendo la ndoa siku nne hadi tano mfululizo kwa wiki ni utamaduni wangu inafikia kipindi huwa nagombana na wife sababu ya tendo la ndoa ye anataka mara tatu kwa wiki wakati mi nataka siku saba kwa wiki

Inafikia kipindi nikimwambia kama vipi nakutafutia msaidizi anaruhusu tu
 
Sasa mkuu kama mimi kufanya tendo la ndoa siku nne hadi tano mfululizo kwa wiki ni utamaduni wangu inafikia kipindi huwa nagombana na wife sababu ya tendo la ndoa ye anataka mara tatu kwa wiki wakati mi nataka siku saba kwa wiki

Inafikia kipindi nikimwambia kama vipi nakutafutia msaidizi anaruhusu tu
Unachepuka kwa adabu?
 
Soma mwanzo.
Nmesema sijaolewa
Mke Wa kuoa ni Wa kuchagua from multiple selection, so you choose the "MOST CORRECT ONE" baada ya kuchagua unakuja gundua uliowaacha nao wanafaa Ndio unaanza kuwa na "mpango kando"/side chick.
Mtuonee huruma sisi wanaume.

Kama unahisi kuchagua ni rahisi basi angalia picha hii na tuambie tunakwama wapiiii
IMG-20190531-WA0041.jpeg
 
Basi ndo ivyo zingatia ushauri
Kwenye huu Uzi nimependa kitu kimoja tu,kile kitendo cha kuukiri ukweli kuwa wanaume wote tunachepuka. Na huu ukweli haupingiki..sisi wenyewe wanaume ukituuliza kwa nn tunachepuka!? Hakuna jibu la maana,huwa tunajikuta tu. Kwa mfano mimi, nampenda kweli mke wangu,lkn huwa najikuta nachepuka na nikichepuka najisikia vibaya kabisaa! Hapa sasa hv nimetoka kumblock mchepuko ambaye nimempita jpili. Naona anataka kuleta mazoea, nimemwambia me nampenda sana mke wangu,ndiyo maana nilivyokuwa na wewe nilikulipa kabisa,kisha nimemblock. Ngoja nitulie tena hata miezi 2 sijui ntaweza!!!??
 
Umeongea ukweli mtupu..
Na ukiona mwanaume hajachepka basi ujue ana matatzo binafsi, kama vile kifedha hajakaa sawa,matatzo ya kiafyan.k
Exactly..huu ni ukweli ambao wanawake huwa hawataki kuuamini.
 
Vijana wengi wa kileo atuna hofu ya Mungu na tunafikir kuingia kwenye nyumba za ibada ni kupoteza wakati na ushamba mambo ya dunia yametawala fikra zetu hata inapofikia unahitaji mke au mume mazingira yako unayo kuwa mda mwingi ni ya kidunia na starehe hivyo unakutana na mchumba disco ,au bar n then munaanza mahusiano ya ndoa hapo unategemea kuna uaminifu unatoka WAP maisha mliyo kutania ndio munayaendeleza sikufichi sio kwamba wanaume wote ni wapumbavu wapo waelevu wenye hofu ya Mungu aogopi kukusaliti wew ana Muogopa Mungu wake na kumheshimu mke wake jinsi ulivyo ndio utapata wa kufanana na wew.
 
Hizo ni mbinu tu mnazotumia wanaume kutuaminisha wanawake kuwa hakuna mwanaume asiyechepuka ili hata tukitaka tuwaacha kwa hiyo sababu tuishie tu kughairi na kusema "wanaume wenyewe ndo wale wale tu wote wanachepuka tutaacha wangapi"

Na huwa mnafurahi kweli mkisikia tunaongea kauli kama hiyo na hiyo kauli ndo inawapa sifa za kuzidisha umalaya wenu na ni wanawake wajinga tu ndo wanaendelea kuisema hiyo kauli na ndo hao wanaolazimisha hadi kuwa na waume za watu ila wanawake wengi tumeshashituka siku hizi

Kwa sababu wanaume duniani mpo billion 3 kama sikosei hivyo haiwezekani wanaume wote muwe na tabia moja hakuna tabia ambayo ni common kwa binadamu wote duniani kila kitu kina kinyume chake ili maisha yabalance anyway maneno yangu siyo sheria kila mtu abaki na anachoamini

Ila hiyo ya kwamba "hakuna mwanaume asiyechepuka" mtaendelea kuwadanganya hao hao wanawake wajinga ila mimi binafsi hakuna mtu yeyote narudia hakuna mtu yeyote anayeweza kubadilisha mtazamo wangu ninaamini kuna wanaume wasiochepuka tena wapo kwenye kila nchi duniani haijalishi kama mimi nitampata mume asiyechepuka au anayechepuka ila ninachojua ni kwamba wasiochepuka wapo fullstop
Yaani dada me nakuambia ukweli,wapo wenye unafuu tu. Kumbuka hata watu waliokuwa wameaminiwa na Mungu nao walichepuka. Kwenye biblia ibrahimu alichepuka,mfalme Daud hadi aliua ili amuoe mchepuko,mfalme suleimani ndo alivunja record kwa kuoa wake halali 700 na michepuko 300. Huenda Mungu mwenyewe anaruhusu tuchepuke sema sisi tu ndo tunawaogopa nyie. Lkn nadhani Mungu hana tatizo na wanaume kuhusu hilo.
 
Umeongea ukweli mtupu..
Na ukiona mwanaume hajachepka basi ujue ana matatzo binafsi, kama vile kifedha hajakaa sawa,matatzo ya kiafyan.k
Sio kwamba watu wote ni mashetani km munavyo fikiria wapo wenye pesa na afya nzuri wanao heshimu ndoa zao napia wana hofu ya kumkosea Mungu.
HOFU YA MUNGU NI MUHIMU SANA KWA MWANADAMU
 
Lingine my nigga's wanawake wa sikuizi wanaroga,mtarogwa msahau future zenu na wake zenu/watoto/familia zenu!
Huyu ndiye baba wa points zoote ulizonena,lakini na nyie wanawake
jifunzeni kuwa ndoa siyo "pingu za maisha" Huu msemo unawaponza
ukishaolewa unajiona unaweza kumfanyia mmeo lolote kisa
mmefunga pingu za maisha na hapo ndo mwanzo wa maelezo yote unapoanzia.
Simaanishi wanaume wachepuke,lakini kinamama heshimuni waume zenu
na kuwatii ili na ninyi mheshimike.
 
Wanaume wanao kubaliwa na Mipango ya kando wengi wao huwa hawana Akili.

Mwanaume mwenye Akili ni ngumu sana kukubaliwa uku ukiwa unajulikana umeoa.

Kuliko kuwa na Mpango wa kando bora muda wangu nipoteze kwenye kuvuta Bange weee mpaka jicho liwe Nyanya.
Mkuu kwa hiyo wewe mchepuko wako ni bange? kweli kila mbuyu na jinni lake.
 
Mke Wa kuoa ni Wa kuchagua from multiple selection, so you choose the "MOST CORRECT ONE" baada ya kuchagua unakuja gundua uliowaacha nao wanafaa Ndio unaanza kuwa na "mpango kando"/side chick.
Mtuonee huruma sisi wanaume.

Kama unahisi kuchagua ni rahisi basi angalia picha hii na tuambie tunakwama wapiiiiView attachment 1119882
Kwahiyo wewe vizuri vyote lazima uvile? Na hiyo huruma mbona mnapenda kuonewa ninyi tu sisi mbona hamtuonei huruma?
 
Kwahiyo wewe vizuri vyote lazima uvile? Na hiyo huruma mbona mnapenda kuonewa ninyi tu sisi mbona hamtuonei huruma?
Baadhi ya Imani zimeruhusu wanaume tuoe Mke zaidi ya mmoja, Mke atabakia Kwa Mme mmoja mwenye wake wengi.
Hata vikao vya Beijing vya haki Sawa havijataka kugusa hapo.... Muache hivi hivi....
 
Mkuu kwa hiyo wewe mchepuko wako ni bange? kweli kila mbuyu na jinni lake.
Niwashe bajaj niufate mchepuko.. Kisha niurudishe kwao.

Acha matumizi mengine wakati nachepuka na Bado nikirudi nyumbani nigombane na Mama yoooyoo.. Wasiwasi mwingi.

Bora nile Bange sana kisha ninunue Nyama kilo mbili tuchome tutafune na familia Mkuu. Ingekuwa mchepuko analiwa na familia sawa.
 
Habari MMU
Naomba niwape ujumbe nilioutafakari kwa kipindi kirefu,mimi sijaolewa kwa maana hio sijui ndoa ila ntawashauri wanaume mliooa wenye ndoa zenu.

Wanaume mna hii mentality kuwa huwezi kukaa na mwanamke mmoja, lazima uchepuke !

Umeanza kuchepuka mtoto wa watu anakupenda anaamini utatulia anakufanyia kila kitu chako kama kakuzaa,anakuzalia na watoto anawalea kama unamlipa. Wewe kazi yako kubwa ulioiona ni kujilisha upepo wa kucheat!

Haya basi mtoto watu kakaa kaona isiwe tabu mme wangu labda ndo nature yenu kucheat "my hubby Cheat in peace" basi unajiona ndo umeshinda kombe unabadili wadada kila siku dharau nyumbani.

Ngoja niwaambie kitu wanaume ,mwanamke akishakuacha u cheat in peace kwanza kashakuona wewe ni mpumbavu. Hata kama una miaka 50 wewe utabaki kuwa mpumbavu mbele yake!usijidanganye "mwanamke wangu ata hanifatilii yanii nna raha kweli"

Mynigga hakufatilii kwasababu hawezi kuhangaisha akili yake kwa ajili ya "mpumbavu"

Na wewe kuacha hawara zako wampande mkeo kichwani ni Upumbavu XXL.

Haicost kitu kuambia mpango wa kando nna mke mapenzi yetu yawe na mipaka, usinipigie masimu ovyo ovyo usinitumie masms huwezi kushindana na mtu anaenilea kwa kila kitu!

Ukiona unachepuka na mwanamke anaeshindwa kuyaelewa hayo muache tu mbona wamejaa sana ambao watakubaliana na term zako ili mjilishe upepo vizuri.

Lingine my nigga's wanawake wa sikuizi wanaroga,mtarogwa msahau future zenu na wake zenu/watoto/familia zenu!

Wewe chekelea kujilisha upepo na akina mwajuma wa buza kumbe unarogwa na wewe unachekelea.

Hakuna mwanamke kama mke wako,wewe jilishe upepo weeeh kwa mama fulani utarudi siku moja,jifunzeni kutofautisha kati ya An empress na concubine,Weka mpaka kati ya Hawara na Mke wa ndoa.

NB: Hii ni kwa wanaume waliooa wanawake wanaojielewa,wanaotimiza wajibu wote.

Wanawake mlioolewa na tabia zenu mbofu mbofu sina la kuwatetea.
Aisee suala la kuchepuka hata upige tarumbeta vipi haliepukiki kama watoto wenyewe ndo hao wanafungasha nyuma kama wamevishwa pampas za watoto wadogo. Watoto chuchu kijua cha saa nne unakuta toto hata sidiria hajaanza kuvaa bado msumali


Wewe shukuru tu, kwanza hujaolewa na pia mwambie atumie kondom mengine hayakuhusu muachie mme
 
Back
Top Bottom