NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,965
mkuu na miti maji je habari yake ikoje?Miti yote inayotoa matunda... Hii miti tasa ina shida zake
mkuu na miti maji je habari yake ikoje?Miti yote inayotoa matunda... Hii miti tasa ina shida zake
umetoka IsraelUmetoka nchi gani jamani bora tupande mipera, miye nilishaukata. Kuna siku ulielezewa humu ndani
mkuu inshida ikinyauka mtu katika familia ana sepa.Ikikauka familia inakaukiwa kila kitu amani upendo pesa na vifo vya kumwagaHapana miashoki haina shida
ni mti maji au mninga maji wanaita sio GUGU MAJIGugu maji au mitimaji?
Iko kwake sidhani kama kuna ukaribu huoMada nzuri. Naomba kuuliza, mie jirani yangu kaupanda mbali na nyumba yake ambayo ni kwenye fance yetu na mie nyumba yangu iko karibu na huo mti kuliko nyumba yake. Naweza kupata madhara nikaichome sindano ife mdogo mdogo@mshana jr
Kama haiwezi kuvuka mpka wa fence basi ni afadhali maana duuuuuIko kwake sidhani kama kuna ukaribu huo
Mshana huwa nakuelewa Sana japo kuna muda unaandika kimafumbo
kuna wakati inabidi tu iwe hivyo kulingana na maudhui ya mada husika Mshana huwa nakuelewa Sana japo kuna muda unaandika kimafumbo
kuna wakati inabidi tu iwe hivyo kulingana na maudhui ya mada husikaKama ulishawahi kuumwa na nyoka ukipita kichakani mwili unasisimukaSiku hizi watu mmekuwa wajinga sana.
Hiki kizazi kimekuwa cha kipuuzi sana.
Akili zimekuwa za ajabu sana
Hivi hata kujiongeza kuwa huu ni upuuzi vijana hamuwezi???????