Ujue Mti chonganishi

Ujue Mti chonganishi

Hapa ninapoishi nyumba hii imezungukwa na miti hii. Pia kuna njiwa wengi wa asili wameweka makazi kwenye dari la nyumba na mchana hushinda juu ya paa. Je nguvu za kiroho za njiwa na miti hii ipi itatatawala hapa nyumbani?
 
Mmh hii mpya kwangu
 
Jaribu kufanya uchunguzi, nasikia njiwa ni baraka sana nyumbani na hapa wapo tele, na wakati mwingine hukaa juu ya miti hii japo kwa muda kidogo sana.
Yeah kwa njiwa ni sahihi kabisa
 
Ndugu Mshana mimi kwangu njiwa wa jirani hawaishi kuja kushambulia chakula cha kuku wangu,nayo ni baraka nisiwafukuze.maana mpaka nimewanunulia manati
Hapana waache wale usiwaguse kabisa
 
Je kama umepandwa kwa jirani inakuwaje?
Mi jirani yangu anayo na watoto wake walifail
form four, na mwenye nyumba hana kazi maalum
ila nilimshauri aikate hiyo miti ili nijenge upande wangu
sioni kuchukua hatua.
 
Ikiwa kwa jirani haina madhara kwako
 
Back
Top Bottom