Ikate sasa mwakani utaona maajabuNinayo miwili hapa kwangu tangia nihamie hapa mwaka 2014 ni shida tupu nyumba nimeshindwa kuimalizia hela siioni kabisa hata promotion sipati kazini du kumbe balaa ninalo mwenyewe na mahala ilipo kwa chini tayari nyumba ina crakes kibao
Weee shauri yako..kifupi unakulia taimingi tuHuu mti ninao nyumbani, niliupanda kama alama enzi nanunua kiwanja. Nina mwaka mmoja sasa kila nikifikiria kuukata, najikuta kubadili mawazo!
Mkuu Kata tuu kwa nini usubir majanga? Piga panga huoHuu mti nmeuontesha lakini zaidi ya watu wawili wananiambia huumti ukiotesha una mikosi, yani hapo nyumbani itakua ni mikosi na ugomvi tuu.
Anaeujue hii habari ya huu mti anieleweshe![]()
![]()
Watuambie inaongeza nguvu za kiume tuishambulie mpaka iishe nchi nzima.

Ni kweli mkuuHuwaga ina nichukua muda sana kumwelewa huyu jamaa.....
hapa bado naivuta hii picha na maudhui ya hii thread!
Any way ebu toa ufafanuzi zaidi hapa ulimanisha nini??
Kitambo sana nshaing'oaMkuu Kata tuu kwa nini usubir majanga? Piga panga huo
Mimi nilikuwa nayo miwili japo sikuwahi kuplipanda Mimi na wala sikui nani aliipandaYale maingiliano ya dunia ya kiroho na dunia isiyoonekana huthibitishwa na matokeo yake na si mchakato unaoonekana Kwa wale ndugu zangu wanaotaka ithibati za kisayansi naomba watulie wasome kimyakimya tuu.
Kuna huu mti unaopendwa kupandwa kuzunguka nyumba zetu, ni mti mzuri wenye kivuli kizuri, hujulikana kama mti mwamvuli na matawi yake huota kwa mpangilio maalum
Ni mti wenye mizizi mirefu yenye nguvu ya ajabu kiroho katika ulimwengu uonekanoa Mizizi yake yenye nguvu huweza kupenya kwenye msingi wa nyumba na kusababisha ufa au nyufa na kuleta uharibifu mkubwa kwenye jengo lako.
Nyufa husika zisipodhibitiwa mapema huweza hata kusababisha nyumba kubomoka au hata kuanguka.. Nyufa hizi zina madhara ya moja kwa moja kiroho nyufa hizi huleta nyufa kwenye familia, mikosi na hata vifo wakati mizizi ikileta nyufa kwenye nyumba jengo, nguvu yake huleta nyufa katika familia.
Nyufa ndani ya familia husababisha mshikamano uliopo kukatika vipande vipande, watu kukosa ajira, biashara kuanguka, watoto kufeli masomo na vifo hasa vya wazazi
Sio mzi mzuri wa kupanda nyumbani na wengi sasa wanaukata Kama unao nyumbani kwako hebu linganisha na hiki nilichoandika hapa.
![]()
Roho alikuongoza na kukuelekezaMimi nilikuwa nayo miwili japo sikuwahi kuplipanda Mimi na wala sikui nani aliipanda
Nimeikata yote lakini jioni hii kabla yata ya kusoma Uzi huu nilikuwa najiukiza kwa kuwa kisiki kimoja kimechakua sana nikawa nawaza namna ya kuking'oa nikaona no usiku unaingia
Nashangaa pop up ya Uzi kuhusu mti nafungua naona ni saw a kabisa na miti noliyoikata na mmoja wapo nilikuwa nawqza kuondoa maotea kwenyekisiki
Mkuu Mshana Jr,
Umenipa tafakari sana juu ya ulichokiandika
Hebu tifungulie zaidi Mkuu
Ni kweli Mkuu. Mungu ni mwema sanaRoho alikuongoza na kukuelekeza
hahahaaaWatuambie inaongeza nguvu za kiume tuishambulie mpaka iishe nchi nzima.
uko jamii moja na mkungu. mkungu scientific name ni Terminalia catappa wakati anaousema Mshana ni Terminalia mentalyMkuu mshana huu mti ndo unaitwa mkungu? Kama ndio huo bas naamini maneno yako 100%