Ujue Mti chonganishi

Ujue Mti chonganishi

Huwaga ina nichukua muda sana kumwelewa huyu jamaa.....
hapa bado naivuta hii picha na maudhui ya hii thread!

Any way ebu toa ufafanuzi zaidi hapa ulimanisha nini??
Ndio kamaliza huwa hashibishi anaonjesha hata mimi sjatosherezwa kuna kitu hivi hataki kusimulia
 
Mhhh!!
Kuna rafiki yangu mmoja kutoka nchi jirani aliwahi kiniambia kitu kama hiki miaka takribani 18 iliyopita, kwamba mizizi yake ikiingia kwenye nyumba na mwenye nyumba anakufa!
Sielewi inakuwaje pale unapokuwa umepandwa na jirani mshana jr!?
Akikujibu unitagi jirani zangu wote wanayo
 
Mti wowote unaopandwa karibu na nyumba wakati wa upandaji inabidi shimo lichimbwe refu.

Ili mmea uanzie chini na mizizi yake itasambaa kuelekea chini na kusambaa bila kuja juu wengi wanakosea saana upandaji wa miti karibu na nyumba.
 
Hebu nikuhoji kama mti huo umeoteshwa kwa jirani unaweza kuleta madhara hayo kwangu
Ndio mizizi ikifika kwenye msingi wako madhara yako pale pale... Ni sawa na kukanyaga tego alilotegewa mwingine
 
Mti wowote unaopandwa karibu na nyumba wakati wa upandaji inabidi shimo lichimbwe refu.

Ili mmea uanzie chini na mizizi yake itasambaa kuelekea chini na kusambaa bila kuja juu wengi wanakosea saana upandaji wa miti karibu na nyumba.
Hebu tujadili kwa mtazamo wa kiroho kwenye hili kwakuwa huo mwingine unajulikana
 
Duuh, nakukubari we mpare, mi sitaaupanda kamwe na kama ndugu zangu wanao naenda kuwaambia waichimbue mpaka mizizi, unashangaa watu mnapiga maombi kwa Mungu kumbe uchawi mmeupanda wenyewe mbele ya nyumba yenu, sasa, ahsante kwa elimu hii haba!!
 
Wengine wanamaliza pesa kwa waganga na kuingia maagano mabaya kumbe tatizo haliko mbali
 
Back
Top Bottom