Ujue Mti chonganishi

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,782
Yale maingiliano ya dunia ya kiroho na dunia isiyoonekana huthibitishwa na matokeo yake na si mchakato unaoonekana Kwa wale ndugu zangu wanaotaka ithibati za kisayansi naomba watulie wasome kimyakimya tuu.

Kuna huu mti unaopendwa kupandwa kuzunguka nyumba zetu, ni mti mzuri wenye kivuli kizuri, hujulikana kama mti mwamvuli na matawi yake huota kwa mpangilio maalum.

Ni mti wenye mizizi mirefu yenye nguvu ya ajabu kiroho katika ulimwengu uonekanoa Mizizi yake yenye nguvu huweza kupenya kwenye msingi wa nyumba na kusababisha ufa au nyufa na kuleta uharibifu mkubwa kwenye jengo lako.

Nyufa husika zisipodhibitiwa mapema huweza hata kusababisha nyumba kubomoka au hata kuanguka.. Nyufa hizi zina madhara ya moja kwa moja kiroho nyufa hizi huleta nyufa kwenye familia, mikosi na hata vifo wakati mizizi ikileta nyufa kwenye nyumba jengo, nguvu yake huleta nyufa katika familia.

Nyufa ndani ya familia husababisha mshikamano uliopo kukatika vipande vipande, watu kukosa ajira, biashara kuanguka, watoto kufeli masomo na vifo hasa vya wazazi.

Sio mzi mzuri wa kupanda nyumbani na wengi sasa wanaukata Kama unao nyumbani kwako hebu linganisha na hiki nilichoandika hapa.

14b6c812d3da7967172acd3db2c429bf.jpg
 
Mhhh!!
Kuna rafiki yangu mmoja kutoka nchi jirani aliwahi kiniambia kitu kama hiki miaka takribani 18 iliyopita, kwamba mizizi yake ikiingia kwenye nyumba na mwenye nyumba anakufa!
Sielewi inakuwaje pale unapokuwa umepandwa na jirani mshana jr!?
Binadamu Tunakufa kwa ahadi.....risasi 38 mtu yupo hai.....risasi moja mtu anakufa.....Zingatia ilo.
 
Mhhh!!
Kuna rafiki yangu mmoja kutoka nchi jirani aliwahi kiniambia kitu kama hiki miaka takribani 18 iliyopita, kwamba mizizi yake ikiingia kwenye nyumba na mwenye nyumba anakufa!
Sielewi inakuwaje pale unapokuwa umepandwa na jirani mshana jr!?
IMG_20171011_110723_073.jpg
IMG_20171011_110655_349.jpg
 
Yale maingiliano ya dunia ya kiroho na dunia isiyoonekana huthibitishwa na matokeo yake na si mchakato unaoonekana Kwa wale ndugu zangu wanaotaka ithibati za kisayansi naomba watulie wasome kimyakimya tuu.

Kuna huu mti unaopendwa kupandwa kuzunguka nyumba zetu, ni mti mzuri wenye kivuli kizuri, hujulikana kama mti mwamvuli na matawi yake huota kwa mpangilio maalum
Ni mti wenye mizizi mirefu yenye nguvu ya ajabu kiroho katika ulimwengu uonekanoa Mizizi yake yenye nguvu huweza kupenya kwenye msingi wa nyumba na kusababisha ufa au nyufa na kuleta uharibifu mkubwa kwenye jengo lako.

Nyufa husika zisipodhibitiwa mapema huweza hata kusababisha nyumba kubomoka au hata kuanguka.. Nyufa hizi zina madhara ya moja kwa moja kiroho nyufa hizi huleta nyufa kwenye familia, mikosi na hata vifo wakati mizizi ikileta nyufa kwenye nyumba jengo, nguvu yake huleta nyufa katika familia.

Nyufa ndani ya familia husababisha mshikamano uliopo kukatika vipande vipande, watu kukosa ajira, biashara kuanguka, watoto kufeli masomo na vifo hasa vya wazazi
Sio mzi mzuri wa kupanda nyumbani na wengi sasa wanaukata Kama unao nyumbani kwako hebu linganisha na hiki nilichoandika hapa.
14b6c812d3da7967172acd3db2c429bf.jpg
Alafu huo mti inasekana kadri unavyochamua matawi yake ni hivyo hivyo chini mizizi inavyochanuka kama hayo matawi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom