hahahaDah imani hizi,
Sasa mti nao uwe na chuki na baba mwenye nyumba wengine salama...!
siikumbuki aisee ngoja aje auweke mwenyeweWapi huko aiseee nipe title ya huo uzi
Mti chonganishiYale maingiliano ya dunia ya kiroho na dunia isiyoonekana huthibitishwa na matokeo yake na si mchakato unaoonekana Kwa wale ndugu zangu wanaotaka ithibati za kisayansi naomba watulie wasome kimyakimya tuu.
Kuna huu mti unaopendwa kupandwa kuzunguka nyumba zetu, ni mti mzuri wenye kivuli kizuri, hujulikana kama mti mwamvuli na matawi yake huota kwa mpangilio maalum
Ni mti wenye mizizi mirefu yenye nguvu ya ajabu kiroho katika ulimwengu uonekanoa Mizizi yake yenye nguvu huweza kupenya kwenye msingi wa nyumba na kusababisha ufa au nyufa na kuleta uharibifu mkubwa kwenye jengo lako.
Nyufa husika zisipodhibitiwa mapema huweza hata kusababisha nyumba kubomoka au hata kuanguka.. Nyufa hizi zina madhara ya moja kwa moja kiroho nyufa hizi huleta nyufa kwenye familia, mikosi na hata vifo wakati mizizi ikileta nyufa kwenye nyumba jengo, nguvu yake huleta nyufa katika familia.
Nyufa ndani ya familia husababisha mshikamano uliopo kukatika vipande vipande, watu kukosa ajira, biashara kuanguka, watoto kufeli masomo na vifo hasa vya wazazi
Sio mzi mzuri wa kupanda nyumbani na wengi sasa wanaukata Kama unao nyumbani kwako hebu linganisha na hiki nilichoandika hapa.
![]()
Most likely ndio huohuo.. Je ulianzisha mada mpya? Imeunganishwa huku kwakuwa tayari kuna hii madaMshana Njoo.
Kuna mahala nimekuta watu wakizungumzia juu ya Mti mmoja hivi unaopenda kupandwa sana kwnye Garden majumbani na njee ya nyumba.
Ni mti wenye matawi mazuri unaokua kwa kasi, na una kivuli kizuri huku matawi yake yakikua kwa ngazi yakitawanyika.
(Nadhani mtaukua mmeeleweka kwa maelezo nikipata pia picha nitamuwekea).
Kwa kesi nyingi Mti huo umehusishwa na kufarakanisha ndoa ,ndoa nyingi ambazo wamepanda mti huo kwenye maeneo yao utakua hazina maelewano na hata nyingi kua zimevunjika kabisa.
Video ya maelezo yake ipo sema nashindwa kufanya Upload.
Mti huu unependwa saana.
Karibuni.
Broooo shikamoo wamepiga BAN ile ID yangu pendwa![]()
![]()
kuna wakati inabidi tu iwe hivyo kulingana na maudhui ya mada husika
Kuna mtu kanisababishia alinitukana nikamrudisha ndiyo imepigwa BAN hawajanambia itafunguliwa liniPole sana nini mbaya?
Ngoja nijalibu ila sijui kama nitawezaPoyee next time kuwa kama mimi... Mtu akikutusi mpotezee.. Usimjibu
Watuambie inaongeza nguvu za kiume tuishambulie mpaka iishe nchi nzima.