Ujio wa CCJ: Yote unayotaka kujua

Ujio wa CCJ: Yote unayotaka kujua

CHADEMA wabaki na machopa yao hawana sera.
wewe ndiyo hauna sera, sera za chadema ndiyo sera mbadala kwa sasa, hakuna chama cha siasa bongo chenye sera zenye muelekeo kuliko chadema , never. ushahidi wa hayo ni mambo mengi ambayo ccm imeyadandia kutoka chadema mojawapo kufuta kodi zenye ususmbufu kwa wananchi....kodi ya kichwa, kodi ya miguu, baiskeli, mifugo nk.
 
-Mkuu mwanakijiji

Hivi wakisema waungane na chama kama CUF ambao tunajua kule zenji wana ndoa na CCM halafu CCM wakiamua kuwatumia CUF kudhulumu mapambanno dhidi yao kwa kuwapa CUF masharti ya kuwasaliti CCJ itakua vipi?

-Kwanza sera za CHADEMA na matendo ya wabunge wa CHADEMA tangu 2005 yamekuwa ndiyo kichocheo kikubwa cha watu kama akina mpendazoe na hata hilo kundi lililoibuka ndani ya chama tawala.ChADEMA ndiyo iliyokuwa external force ya kumeguka kwa CCM au kuibuka kwa pande mbili ndani ya Chama tawala

CHADEMA wameonysha kwa vitendo wanaweza vita ya ufisadi

Sera za CHADEMA ni more reliable naziko consistent na yale wanayosimamia CCJ

CHADEMA ni chama cha mrengo wa kati,kinaweza ku-adjust na CCJ kuliko TLP

Ni risk kwa chama kama CCJ kuungana na mouth piece ya CCM yaani TLP au NCCR.Hao wote hawana jipya na wamekuwa wakikosoa vita ya ufisadi.Kwanza CCJ kuungana na watu kama akina Mrema ambaowatanzania wana mashaka nao basi CCJ itakuwa imejimaliza.Pia Mwenyekiti wa TLP hana historia ya kuongoza chama cha upinzani bila kukiangusha.so ni bora CCJ wakaungana na CHADEMA zaidi na kama kweli kundi la akina Mwakyembe likamua kujiunga nao basi waungane na CHADEMA na watakua na nguvu zaidi kwani hata bungeni hilo kundi liliungana na upinzani ingwa si kwa kiasi cha kuridhisha ktk mambo mbali mbali kule bungeni
well said Ben
 
Asante mkuu lakini naona hunitendei haki. Kuuliza si ujinga bali ni katika kutaka kujua kwa lengo la kuwa pamoja katika mjadala huu.

Mkuu wewe naona unataka utafuniwe kila kitu.Hiyo unayodhani ni coded information iko wazi kabisa na kuna member ametuonya hapa kutotaja majina ili kuyalinda haya mabadiliko ya kweli yanayotaka kutokea katika Taifa letu.
Yashike maneno yangu na ikitokea kinyume basi nakuruhusu njoo hapa JF unisute.
 
Mkuu wewe naona unataka utafuniwe kila kitu.Hiyo unayodhani ni coded information iko wazi kabisa na kuna member ametuonya hapa kutotaja majina ili kuyalinda haya mabadiliko ya kweli yanayotaka kutokea katika Taifa letu.
Yashike maneno yangu na ikitokea kinyume basi nakuruhusu njoo hapa JF unisute.

Asante wakuu nimewapata vyema kabisa. Subira yavuta heri
 
Watanzania bwana.. watu mmepewa signal almost two months ago.. hamuamini; watatoka wengine tena wakirusha siyo mawe bali ni marungu, mtaanza "kwanini wanatoka si wangebakia humo humo". Wakati ulipotumwa ujumbe hapa watu wakataka kama ni kweli "watoke".. tuko kama ndumilakuwili.... mstari ni mrefu lakini mtakuja kuona una mrengo fulani hivi..
 
Kuna watu saikologia ya maisha inawapiga chenga sana. Habari unayoisoma humu jamvini kama huitaki kusikia ni busara ya kawaida kuachana nayo waachie wengine nao watumie akili zao kutafakari na kuamua. Kwani SHigongo una ugmvi gani naye? Mbona UWAZI yake inatoa habari za kiina na zenye uthibitisho kedekede hata kwa picha na utafiti? Inawezekana watu wengine hawajui nini maana ya udaku, wakimchukia mtu basi hata kazi zake njema hawazioni. Huo ni ufinyu wa hekima na wivu wa kijinga. Mtieni moyo mtu kwa jitihada zake nzuri, mkosoe positively pale anapokosea. Watu wenye mioyo hasi kwa kawaida hawaendelei.

Namshukuru mtoa hoja kwa habari aliyotuletea, ni wajibu wetu sasa kuchokonoa ili kupata ukweli.
 
I still say it's too early to know whether CCJ is for real. It will take time to see if they have the stamina to maintain the speed or if it's just another sprinting party. I think people are still mesmerized with the prospect of a strong opposition party. Personally I don't think they have yet shown anything plausible. The only thing I have seen so far is rumors of different politicians moving to CCJ which I don't think shows what CCJ can do different of Tanzanians.

Time will tell. For those CCJ insiders I'm sure they know what's up inside the party but for the rest of Tanzanians I advice caution and give time to read into the party. With all statistics aside, a fighter has to be tested inside the ring. Tungojee CCJ iingie uringoni tuone. If it is serious and strong party then it's all well and good for Tanzanians.
 
CCJ imeanzishwa na watanzania gani? walaikuwa wapi tangu mambo yaharibike? nasikia wanaoliunda CCJ ni CCM mabaki.

Kama ni CCM wale wale tusiwe na matarajio makubwa sana , kwani wana unafiki mwingi,

Walimpinga sana Dr Slaa katika kupigania ukweli leo wabadilike ghafla kama kushikiwa na roho wa Bwana, wanatafuta madaraka na utajiri. Tuwapime vizuri wasijekutuingiza katika matatizo.
 
Kama kweli CCJ ni chama mbadala kilichokuja maalum kwa ajili ya ukombozi wa mtanzania Basi na iwe heri..Time will tell
Nchi hii bado kuna watu wenye uchungu na maslahi ya Taifa? na iwe hivyo
Nchi hii bado kuna watu wenye uchungu na raia wema wa Tanzania wanaoishi katika dimbwi la umaskini ,magonjwa ,njaa ,na kila takataka ya kukatisha tamaa
All the best tuko nyuma yenu
 
dah, basi jamaa wako juu sana, hivi mpaka sasa nini kembaki ili hiki chama kipate usajili wa kudumu?
 
Watanzania bwana.. watu mmepewa signal almost two months ago.. hamuamini; watatoka wengine tena wakirusha siyo mawe bali ni marungu, mtaanza "kwanini wanatoka si wangebakia humo humo". Wakati ulipotumwa ujumbe hapa watu wakataka kama ni kweli "watoke".. tuko kama ndumilakuwili.... mstari ni mrefu lakini mtakuja kuona una mrengo fulani hivi..

Mpaka sasa tuna miezi kama mitano kuelekea kwenye uchaguzi mkuu ,hawa watu kwanini mpaka sasa hawajaamua kuweka majina yao wazi ??
Wanaogopa?
Na kama wanasubiri muda muafaka ufike ni muda gani huo ??
 
Asanteni Wakuu, endeleeni kutupasha habari - haya ni mambo yanaleta matumaini kwa taifa letu.
 
hatua moja baada ya nyingine - tuwe na subira.
 
Mpaka sasa tuna miezi kama mitano kuelekea kwenye uchaguzi mkuu ,hawa watu kwanini mpaka sasa hawajaamua kuweka majina yao wazi ??
Wanaogopa?
Na kama wanasubiri muda muafaka ufike ni muda gani huo ??

well... mtu anayekushambulia huwezi kumchagulia muda, njia, au namna ya kukushambulia..unachotakiwa kufanya ni kujiandaa tu..
 
haya ndio mabadiliko tunayoyahitaji. tunahitaji grains of wheat. tunahitaji wazalendo. tunahitaji watu wenye uwezo wa kujibainisha na watanzania. tunahitaji watu wenye dhamira zilizo hai. tunahitaji viongozi. tunahitaji mabadiliko. tunahitaji maendeleo. tunahitaji amani ya kweli. tunahitaji maisha bora kwa kila mtanzania. tunahitaji chama kipya. tunahitaji mawazo mapya. tunahitaji KUJIAMINI. tunahitaji kuamini kuwa tunaweza. tunayo mengi sana ya kuhitaji. mengi ambayo walishindwa kutupatia kwa kipindi kilichopita. tuombe tu ili huu mwaka uwe mwaka wa mabadiliko
 
Hapa nimejua kwa nini viongozi wa CCM wanaipigia kelele CCJ. Tunasubiri big fish sasa. Kumbe ni mfa maji
 
- Mkuu wangu Chuma huu ni mtizamo wako according to what you know na sisi wengine tunajadili kulingana na what we know, hakuna kinachoharibika kibaya ni kuusimamisha mjadala kwa sababu ya kukata tamaa kabisa, sisi wengine hatujakata tamaa maana histroria iko wazi sana tena ya dunia nzima kwamba hakuna mwanzo usiokuwa na mwisho, ninasema for what I know tayari ni kwamba CCJ ni moto wa kuotea mbali tena sana! na wewe nimekusikia sana!

- Lakini CCJ is for real! na ninaamini kwa 100%! kwamba watasaidia sana kumuamsha tembo mkubwa CCM, maana yaliyojiri jana huko behind the scene usiombe kuyajua kuhusiana na Mpendazoe kujitoa!

Respect.

FMEs!
To me this sounds more like April 1st material.......the more I smell it the more it is becoming obvious!
 
Back
Top Bottom