Mkuu,thanks
Ila umetumia nguvu nyingi sana kutoa hii hoja,si hatari namna hiyo ndugu
Hapana sijatumia nguvu nyingi,nabonyeza key board tu mkuu wangu,ila sipendi kuona watanzania wakidanganywa tena na CHADEMA.
Nimependekeza CHADEMA kwa kuwa CHADEMA ni central party.Watawez kuungana na CHADEMA zaidi kuliko NCCRambao ni conservatives au kuliko TLP isiyo eleweka.
Vyama viko vingi sana kinachonikera ni kujaribu kuwadanganya watu kwamba CHADEMA tu ndio chama cha upinzani.Bungeni kuna UDP,CUF na CHADEMA ungesema washirikiane na vyama vyote vya upinzania ningekuelewa sana.Historia inaonyesha CHEDEMA haiko kabisa maeneo ya pwani kama ilivyo kwa CUF kule Bariadi wapo UDP wakiunganisha nguvu ya vyama vyote vya upinzani bila shaka wataweza kutupa watanzania kitu cha maana.
Ukifuatilia kwa umakini sera za CHADEMA na yale ambayo CHADEMA wamekuwa wakiyasimamia basi utaona hata wale watu waliojiunga na CCJ kama huyu Fred mpendazoe amekuwa inspired na vitailiyoasisiwa na wanachadema.Still naamini CHADEMA imekuwa na nguvu kubwa bungeni katika kuiwajibisha serikali na katika kutoa suluhisho mbadala la janga la uongozi wa Taifa letu
Ndiyo mana unaona hata CCM iliamua kuiga mambo mengi ya CHADEMA na kuyaweka ktk utekelezaji ingawa walitekeleza kw kufeli kwa kuwa waliiga vitu wasivyo na ujuzi navyo na hawaviamini moyoni mwao
Kuhusu Hoja ya Mbowe na Zitto,mbona basi Zitto alikubali na kuendelea kuwa ndani ya hicho chama?Hoja hii tu haiwezi kuzuia CCJ kuungana na CHADEMA ikiwa watazuiwa kushiriki uchaguzi mkuu ili kupanua wigo wa kuiwajibisha serikali bungeni