Mkuu Field Marshall ES,
Asante sana kwa dataz toka chunguni. Na bila shaka utazidi kutujuza hapa jamvini.
Wengi wetu walikuwa wanafikiri CCJ ni feki lakini kwa sasa tumeweza kujua CCJ ni nini na kina lengo gani. Maneno ama majibu ya Msekwa kuhusu Mpendazoe kujitoa CCM kwa upande wangu nashindwa kumuelewa Msekwa na chama chake. CCM wanaona bora kuwa wanachama wengi wapumbavu na hawajali umakini ama umahiri wa mwanachama. CCM watake ama wasitake kuondoka kwa Mpendazoe ni pigo kubwa kwao tokana na ukweli kwamba tendo hilo limeonesha kwamba kuna mpasuko mkubwa ndani ya CCM na muda wowote toka sasa CCM inaweza kusambaratika.