Ujio wa CCJ: Yote unayotaka kujua

Si mchezo mkuu,heshima mbele. Hii ndo JF,tunategemea kupata mengi zaidi toka kwako mkuu. Tension iliyopo magogoni sijui kwa kweli....
 
- Wakuu wote JF wasalaam sana, jana niliahidi kupekua kila mahali hapa nyumbani on exactly nini kinaendelea na kinachofanyika, kuhusu hiki chama kipya CCJ yaani the talk of town, toka jana nimekuwa nikihaha kuatufa the dataz kuhusiana na CCJ na niliahidi kwamba nitasema wazi hapa my findings, ni kwamba:-

1. Nimeweza kuthibitisha na ninasema with my clear conscious kwamba CCJ ni for real na ni a very serious political party, chenye nia njema sana na taifa so far na kwamba kikipata registration kitasimamisha mgombea urais, the dataz ni kwamba patawaka moto na inaeleweka tayari huko Magogoni!

2. Nimegundua kwamba ni kweli nyuma yake kina viongozi wengi sana wenye nguvu sana na siasa za sasa za taifa letu.

3. Nimegundua kwamba Mpendazoe, hakuwa kwenye line ya kufukuzwa isipokuwa uzembe wa viongozi wa juu sana katika taifa letu ndio umesababisha "akawaponyoka" kabla hawajamaliza kufikiria what do do with him kwani walishafahamishwa kwamba alikuwa na "mpango" kwa hiyo kwa habari zote za dataz nilizonazo, ninathibitisha kwamba kuondoka kwake jana lilikuwa pigo kubwa sana huko "ndani" na kumeleta mshituko mkubwa sana kwa Wakulu na sasa wanahaha kufuatilia nani wengine wako njiani!

4. The dataz ni kwamba CCJ is so solid kwamba ofisi yake ya HQ ni full funrnished ikiwa na mtambo mmoja wa ajabu sana na wa kwanza Africa nzima, ambao utaweza kuwasajili wanachama wapya papo kwa papo kupitia njia ya Mtandao.

5. Kwamba kadi mpya za CCJ ambayo nimefanikiwa kuinasa mojawapo ukichungulia kwa mbali zina picha ya Mwalimu Baba Wa Taifa, na kwamba Mpendazoe was not in the picture ya the CCJ's master plan, lakini ameamua kwa hiari yake mwenyewe na ni a big plus!

6. Kwamba kuna "mzito" mmoja ambaye kikatiba hahusiki na usajili wa vyama vya siasa, lakini amelishikila faili la usajili wa CCJ kwa siri sana, badala ya kuwepo ofisini kwa Tendwa! na Yes I said it kuna kigogo mmoja amelishikilia faili la CCJ nyumbani kwake na anatembea nalo! kwa leo ninahifadhi jina lake!

- Well samahani sana wakuu kwa sasa naomba nisimame hapa kwanza, upepo ukikaa sawa nitamwaga a lot more na hasa majina ya who is who behind CCJ, yes ninayo yote sasa subira yavuta heri, maana upepo hauko sawa sasa hivi na this CCJ thing!

Respect.

Field Marshall Es! ni Wazee Wa Sauti Ya Umeme!

TANU/ ASP na CCM havijawahi kuwa serious . Vikaja NCCR. CUF. CHADEMA navyo havijawa serious kwa taifa na wnanchi. Labda hiyo CCJ isiongozwe na wanasiasa wa Bongo. Manufaa binafsi mbele!
 
weka wazi kuhusu facts zilizokujenga imani yako, unafahamu siasa ni biashara mzuri na rate of return pia ni kubwa kama ilivyo pia na risk kubwa, kwa hiyo kadri , na mbaya zaidi siasa inalinganishwa na biashara haramu ambayo vificho ni vingi sana, nini kinakujengea imani kwamba CCJ si chama cha karatasi kama enzi zileeeeeeeeeee na nchi hii na kamanda wa siku saba?
 
afadhali we umeona udaku uliomo........... kuna jamaa # 3 hapu ju yeye hajaona!!......
 
Mkuu hii ndio JF , taarifa huwa zinaanza kama hivi, inzi aatafuta sehemu ya kutua

Just imagine, ulikuwa unaongea na mtu fulani akakupa habari, mara baada ya saa moja anapata taarifa habari imeleak JF! Unafikiri atajua ni nani?

Kuna taarifa huwa zinawekwa kimtego na utakuta source nyingine ya habari ina-confirm na wewe unaconfirm, uthibitisho upi ambao hautaendana na kutaja majina ya watu au kuwa na document? maana kusema uthibitisho ni neno rahisi sana!

BTW unaweza ukampa ukawa mpole na kutochangia ukasubiri kwanza, taarifa zisizo na uhakika huwa zinakufa naturally here in JF

Ningekuwa wewe ningeangalia kwa haraka member huyu ni wa lini, hivyo anaijua JF sana kuliko wewe kwa tofauti ya miaka 3!

aliyeuliza uthibitisho au facts alifanya vyema, tofauti na wewe uliyesema habari za shigongo,

kuna watu huwa tunawapa moto wa kutafuta ukweli kwa kuwa-encourage!!
 
Kaka ES,

CCM wanajua kuwapoteza Wananchi kila mara.

CCJ is nothing than New NGO...!!!...Watatumika kama walivyotumika waliopo ktk Vyama vya Upinzani vilivyopo...!!!

Rejea ushauri wa mwanzo uliokuja kuomba hapa JF khs the so called "Wapiganaji"....!!!

Atleast Hawa wapiganaji na wengine ambao wapo Behind yao..wangeenda Chadema atleast ....Joto lingeenza kupanda kwa watawala....!!! kwa Style hii Wanazidi kuongeza "Gap" la sintofahamu kwa vyama vya "Upinzani"
 
nakushukuru mkuu kwa ufafanuzi, i am waiting....... patiently................
 
Kaka ES,

CCM wanajua kuwapoteza Wananchi kila mara.

CCJ is nothing than New NGO...!!!...Watatumika kama walivyotumika waliopo ktk Vyama vya Upinzani vilivyopo...!!!

Rejea ushauri wa mwanzo uliokuja kuomba hapa JF khs the so called "Wapiganaji"....!!!

Atleast Hawa wapiganaji na wengine ambao wapo Behind yao..wangeenda Chadema atleast ....Joto lingeenza kupanda kwa watawala....!!! kwa Style hii Wanazidi kuongeza "Gap" la sintofahamu kwa vyama vya "Upinzani"

- Mkuu wangu Chuma huu ni mtizamo wako according to what you know na sisi wengine tunajadili kulingana na what we know, hakuna kinachoharibika kibaya ni kuusimamisha mjadala kwa sababu ya kukata tamaa kabisa, sisi wengine hatujakata tamaa maana histroria iko wazi sana tena ya dunia nzima kwamba hakuna mwanzo usiokuwa na mwisho, ninasema for what I know tayari ni kwamba CCJ ni moto wa kuotea mbali tena sana! na wewe nimekusikia sana!

- Lakini CCJ is for real! na ninaamini kwa 100%! kwamba watasaidia sana kumuamsha tembo mkubwa CCM, maana yaliyojiri jana huko behind the scene usiombe kuyajua kuhusiana na Mpendazoe kujitoa!

Respect.

FMEs!
 
Kaka ES,

CCM wanajua kuwapoteza Wananchi kila mara.

CCJ is nothing than New NGO...!!!...Watatumika kama walivyotumika waliopo ktk Vyama vya Upinzani vilivyopo...!!!

Rejea ushauri wa mwanzo uliokuja kuomba hapa JF khs the so called "Wapiganaji"....!!!

Atleast Hawa wapiganaji na wengine ambao wapo Behind yao..wangeenda Chadema atleast ....Joto lingeenza kupanda kwa watawala....!!! kwa Style hii Wanazidi kuongeza "Gap" la sintofahamu kwa vyama vya "Upinzani"

yaani mimi niliwadharau tangu zamani sana......... tusubiri.............. yaani CCJ si chama ni mimba ya chama na mkunga (tendwa) ni mwajiriwa wa CCM........ halafu wanbmeleza mkunga awape fast tracking wajifungue kabla wajawazito wengine waliowatangulia (kama wapo) hawajahudumiwa ili kuwahi uchaguzi amabo mwajiri wa mkunga nagependa kuwa mgombea pekee!!............ je mkunga ataamua nini?........ tia akili kichwani.............
 
Mechi ya arsenali na barc ilikuwa tamu sana leo.

Ktk maada CCM wasijidanganye saizi kwamba waliondoka akina Mrema mambo yalikuwa shwari, wakati huo ni Mwalimu ndo alituliza mizuka.

sahizi hakuna wakutuliza, ikitokea vigogo wa kueleweka kutoka ccm kama 5 hivi basi ccm bai bai.
 
FMES;

Sijui, kama alivyosema Akili Kichwani kuwa alishajikatia tama siku nyingi.

Mimi naona ka-moyo kangu akaja waamini hawa jamaa nilichofurahia tu ni kuwa watu wengi wamekiunga mkono, hivyo kupiga muhuri kuwa vyama vya siasa vya zamani bado havijapata social license! hivyo hakuna upinzani! hii ni inanishtua sana, au vyama vya siasa kama mipira yanga na simba?

ukishaumwa na nyoka,
 
weka wazi kuhusu facts zilizokujenga imani yako, unafahamu siasa ni biashara mzuri na rate of return pia ni kubwa kama ilivyo pia na risk kubwa, kwa hiyo kadri , na mbaya zaidi siasa inalinganishwa na biashara haramu ambayo vificho ni vingi sana, nini kinakujengea imani kwamba CCJ si chama cha karatasi kama enzi zileeeeeeeeeee na nchi hii na kamanda wa siku saba?

- Yees! kuna mpango wa kutaka kukinyima usajili mpaka uchaguzi ujao, lakini CCJ tayari wanalijua hilo na limeshashugulikiwa ipasavyo kwamba watakaojaribu kuwanyima usajili wataishia kujikaanga wenyewe, no matter what jana the message was sent na imefika inakotakiwa na it is all good kwa taifa, ingawa kwa maoni yangu something need to be done ili kuwepo na understanding kati ya CCJ na wapinzani na wawe makini sana maana hapa tembo mkubwa hatakubali hivi hivi tu!

- Akishindwa kuwazuia atawapiganisha! ili wamsafishie njia!

Respect.

FMEs!
 
Mkuu kwanza big up kwa kuibuka kinamna na findings...ni kama breaking news vile, but my provative question, "Tinga tinga naye msafiri katika safina ya Nuhu (CCJ)?
 
- Yees! kuna mpango wa kutaka kukinyima usajili mpaka uchaguzi ujao, lakini CCJ tayari wanalijua hilo na limeshashugulikiwa ipasavyo kwamba watakaojaribu kuwanyima usajili wataishia kujikaanga wenyewe, no matter what jana the message was sent na imefika inakotakiwa na it is all good kwa taifa, ingawa kwa maoni yangu something need to be done ili kuwepo na understanding kati ya CCJ na wapinzani na wawe makini sana maana hapa tembo mkubwa hatakubali hivi hivi tu!

- Akishindwa kuwazuia atawapiganisha! ili wamsafishie njia!

Respect.

FMEs!

Mkuu vipi katika hao vigogo wa CCM, hakuna hata jina la kufikirika? WARIOBA, Butiku vipi? maana mpaka sasa hivi haijajulikana

isije ikawa EL, RA, Karamagi na wakaja kujitokeza dakika za mwisho!
 
Ok, ndio uhuru tulionao.
Hii CCJ na inavyopokelewa na baadhi yetu hapa JF basi tu, tutajua tu mbele ya safari.

Mfano: Chunguza haya maelezo kama ni solid kuunga hoja ya 'u solid' wa Chama kama inavyowasilishwa.

4. The dataz ni kwamba CCJ is so solid kwamba ofisi yake ya HQ ni full funrnished ikiwa na mtambo mmoja wa ajabu sana na wa kwanza Africa nzima, ambao utaweza kuwasajili wanachama wapya papo kwa papo kupitia njia ya Mtandao.

Wapo wanaofahamu mengi, wakanena machache. Na wapo wanaonena mengi huku wakifahamu machache tu.
 
Ok, ndio uhuru tulionao.
Hii CCJ na inavyopokelewa na baadhi yetu hapa JF basi tu, tutajua tu mbele ya safari.

Mfano: Chunguza haya maelezo kama ni solid kuunga hoja ya 'u solid' wa Chama kama inavyowasilishwa.

Wapo wanaofahamu mengi, wakanena machache. Na wapo wanaonena mengi huku wakifahamu machache tu.
Mkuu upo,nilifikiri wanakutafuta kule Kiembesamaki ukapambane na Mansour,maana ndo hakuchangia mswada wa kura ya maoni,akikuhofia ww...eti kweli kada?
CCM wameshashindwa Zanzibar na wanajikaza bara, lakini pini imeshawakaa na roho...Mpendazoe, who is next is what gives them sleepless nights...
 
- Off course the heat is felt all over, juzi kwenye CC mkulu amelilia sana wazee viongozi wote kuwashawishi viongozi wa dini, maana hao sasa anaamini kwamba huenda ndio wenye trufu za uchaguzi ujao through CCJ!, ndio maana ninasema it is for real!

Respect.

FMEs!
 
Back
Top Bottom