Mkuu hii ndio JF , taarifa huwa zinaanza kama hivi, inzi aatafuta sehemu ya kutua
Just imagine, ulikuwa unaongea na mtu fulani akakupa habari, mara baada ya saa moja anapata taarifa habari imeleak JF! Unafikiri atajua ni nani?
Kuna taarifa huwa zinawekwa kimtego na utakuta source nyingine ya habari ina-confirm na wewe unaconfirm, uthibitisho upi ambao hautaendana na kutaja majina ya watu au kuwa na document? maana kusema uthibitisho ni neno rahisi sana!
BTW unaweza ukampa ukawa mpole na kutochangia ukasubiri kwanza, taarifa zisizo na uhakika huwa zinakufa naturally here in JF
Ningekuwa wewe ningeangalia kwa haraka member huyu ni wa lini, hivyo anaijua JF sana kuliko wewe kwa tofauti ya miaka 3!
aliyeuliza uthibitisho au facts alifanya vyema, tofauti na wewe uliyesema habari za shigongo,
kuna watu huwa tunawapa moto wa kutafuta ukweli kwa kuwa-encourage!!