gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,283
- 3,274
Huyu mwendazake zaidi ya roho mbaya hakua na laziada,kama ni hayo mnayoita maendeleo ameyafanya kwa pesa za mikopo,sote tunajua mpaka sasa ndio raisi aliekopa pesa nyingi kwa muda mfupi kuliko raisi yoyote.Wakati utaongea na muda utafika na kinywa chako kitasema magufuli ni mwamba wa Afrika, na utakuwa muumini wa magufulification na amini IPO siku utakugusa utawala huu pabaya sana