Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Mkuu mimi niko mwanza, nimetoka hospital sasa hivi nimeambiwa ni bawasiri, kuna dawa Dr kanishauri nikazitafute zitanisaidia zaidi kuliko hizo za bima, kuna gel moja inauzwa 18k nimeshaipata na vidonge vinauzwa 38k ndio nahangaika kuvitafuta hapa bado sijavipata....ila mwanzoni nilidhani ni jipu na wife aliniwekea kitunguu saumu eti liive, hapa nilipo nikishika nalisikia kama ni laini laini mno, natamani ata litobolewe niweze kukaa au kutembea vizuri.

Usithubutu kutoboa, ukitoboa utaanza kubleed damu na kuwa more worse
 
Hilo ni jipu linalosababishwa na bacteria. Na hii husababishwa sana na uchafu hasa kutokusafisha vizuri maeneo hayo au kuvaa chupi au boxer chafu kwa muda mrefu.

Onana na docta yeyote akuandikie dawa au tumia anti bayotic dozi.
Ila sidhani kama hii inaweza kuwa sababu kwa upande wangu kwasababu huwa najisafisha vizuri kila baada ya kujisaidia na pia sivai boxer siku mbili mkuu as long as nimeoa muda mrefu kidogo na wife anajua majukumu yake vizuri.
 
huu ugonjwa unaitwa fistulectomy au wakati mwingine wanasema sinus. kinajitokeza kijipu kidogo na kinauma sana. dawa ya hii kitu ni kufanyiwa operation. kwa yule ambaye anasema kanauma sana, akienda watapasua na humo ndani wanaweka pamba ambazo zinatolewa baada ya 24 hrs. ni operation inauma hasa ukitaka kwenda choo.usipowa wakaipasua ikiwa ndogo, kule ndani inajijenga na unaweza shikwa upande wa pindi wa toako. kwa kuwa una access ya internet wewe andika fistulectomy, i dont know if am correct in spelling, ila utapata ABC za ugonjwa huu. nashauri kwa yule aliyeko mwanza angalia dr mmoja anaitwa dr Philipo ni surgeon specialist huyu ni mtaalamu sana. kuwai ni bora kuliko kuchelewa kwani ukichelewa inakuwa kansa au wanaweza kuwekea mpira tumboni ili kule matakoni wapatibu papone. Ni ushauri tu, kama hutaki unaacha. Asante
 
Mkuu mimi niko mwanza, nimetoka hospital sasa hivi nimeambiwa ni bawasiri, kuna dawa Dr kanishauri nikazitafute zitanisaidia zaidi kuliko hizo za bima, kuna gel moja inauzwa 18k nimeshaipata na vidonge vinauzwa 38k ndio nahangaika kuvitafuta hapa bado sijavipata....ila mwanzoni nilidhani ni jipu na wife aliniwekea kitunguu saumu eti liive, hapa nilipo nikishika nalisikia kama ni laini laini mno, natamani ata litobolewe niweze kukaa au kutembea vizuri.
utobolewe.... :oops::oops:
 
Ila sidhani kama hii inaweza kuwa sababu kwa upande wangu kwasababu huwa najisafisha vizuri kila baada ya kujisaidia na pia sivai boxer siku mbili mkuu as long as nimeoa muda mrefu kidogo na wife anajua majukumu yake vizuri.

That is from my experience (ukiweza chukua ushauri wangu ukitaka Acha.)

NB: si wewe tu mwenye kuwahi kuwa na tatizo hilo.

Muone Doctor, tena hospital za serikali. Maana hawa wa private wanaweza kukusingizia ugonjwa mkubwa kweli.

NB: Umewahi kujiuliza kwa nini majipu mara nyingi yanatokea matakoni na kwenye makwapa?
 
Hiyo ni fistula. Wahi hospitali ukamuone Daktari akupasue...
Kuna daktari nimemuona leo, nimemueleza tu haja nikajua akaniambia ni hemorrhoids, akaniandikia dawa moja ya kupaka na moja ya vidonge ambavyo vipo 60.
 
huu ugonjwa unaitwa fistulectomy au wakati mwingine wanasema sinus. kinajitokeza kijipu kidogo na kinauma sana. dawa ya hii kitu ni kufanyiwa operation. kwa yule ambaye anasema kanauma sana, akienda watapasua na humo ndani wanaweka pamba ambazo zinatolewa baada ya 24 hrs. ni operation inauma hasa ukitaka kwenda choo.usipowa wakaipasua ikiwa ndogo, kule ndani inajijenga na unaweza shikwa upande wa pindi wa toako. kwa kuwa una access ya internet wewe andika fistulectomy, i dont know if am correct in spelling, ila utapata ABC za ugonjwa huu. nashauri kwa yule aliyeko mwanza angalia dr mmoja anaitwa dr Philipo ni surgeon specialist huyu ni mtaalamu sana. kuwai ni bora kuliko kuchelewa kwani ukichelewa inakuwa kansa au wanaweza kuwekea mpira tumboni ili kule matakoni wapatibu papone. Ni ushauri tu, kama hutaki unaacha. Asante
Mkuu nimeogopa mno baada ya kusoma hii post yako, naomba Mungu iwe external hemorrhoids km alivyoniambia Dr.
 
That is from my experience (ukiweza chukua ushauri wangu ukitaka Acha.)

NB: si wewe tu mwenye kuwahi kuwa na tatizo hilo.

Muone Doctor, tena hospital za serikali. Maana hawa wa private wanaweza kukusingizia ugonjwa mkubwa kweli.

NB: Umewahi kujiuliza kwa nini majipu mara nyingi yanatokea matakoni na kwenye makwapa?
Hapo kwenye NB kiukweli sijui ndugu yangu, ninachomshukuru Mungu ni kuwa tangu nizaliwe sijawahi kupata jipu sehemu yoyote ile ya mwili wangu, ila sio vibaya ukitoa ufanunuzi hapa kwasababu utawasaidia wengi.
 
Pembeni ya tundu la haja kubwa nimetokewa na uvimbe kama vile ni jipu, lina maumivu makali mno, ukipashika ni kama kinundu kikubwa hivi, nakumbuka mwaka jana niliwahi kutokewa nacho kikapotea chenyewe kimya kimya, sasa jumapili hii iliyopita nimetokewa nacho tena, mara hii nashindwa kutembea sawa au kukaa inakuwa shida, naomba msaada kujua hii ni nini?
eeh nend hospital ndo msaada wangu
 
Mkuu mimi niko mwanza, nimetoka hospital sasa hivi nimeambiwa ni bawasiri, kuna dawa Dr kanishauri nikazitafute zitanisaidia zaidi kuliko hizo za bima, kuna gel moja inauzwa 18k nimeshaipata na vidonge vinauzwa 38k ndio nahangaika kuvitafuta hapa bado sijavipata....ila mwanzoni nilidhani ni jipu na wife aliniwekea kitunguu saumu eti liive, hapa nilipo nikishika nalisikia kama ni laini laini mno, natamani ata litobolewe niweze kukaa au kutembea vizuri.
umeshaambiwa tatizo ulilonalo iweje unaanza kuturingishia tena mara oooh nikishika laini laini ,mara sijui mafuta mbona tunaanza kupata hofu kama kweli we mgonjwa,zingatia dawa ulizopewa.case closed
 
Hakika ni bawasiri inauma na zaidi inafadhaisha nimewahi kutokewa mara mbili na ikapotea yenyewe ila ilipokuja kutoka Mara ya tatu hali haikuwa nzuri nilitumia alovera kwa kupaka ute wake kuzunguka uvimbe pia kunywa juisi yake kiasi cha nusu Lita asubuhi kabla ya chochote na jioni wakati wa kulala kuhusu maumivu nilikuwa nikitumia flamar mix
Mkuu na mimi ilinitokea mwaka jana hiki kinundu kama jipu kikaja kupotea chenyewe baada ya muda mfupi ila kwa sasa ndio kimechachamaa hatari, siwezi kukaa kama kawaida au kutembea, hapa nina Ed nipo kitandani nimelala tu.
 
umeshaambiwa tatizo ulilonalo iweje unaanza kuturingishia tena mara oooh nikishika laini laini ,mara sijui mafuta mbona tunaanza kupata hofu kama kweli we mgonjwa,zingatia dawa ulizopewa.case closed
Nikuringishie mkuu tunajuana hapa? Lengo hapa ni kusaidiana na kupeana uzoefu kwa watu waliowahi kukumbwa na tatizo kama langu, wewe kama unaona huna cha kuchangia pita polepole fuata mambo yako, hujalazimishwa na mtu yeyote kusoma au kuchangia chochote hapa.
 
Pembeni ya tundu la haja kubwa nimetokewa na uvimbe kama vile ni jipu, lina maumivu makali mno, ukipashika ni kama kinundu kikubwa hivi, nakumbuka mwaka jana niliwahi kutokewa nacho kikapotea chenyewe kimya kimya, sasa jumapili hii iliyopita nimetokewa nacho tena, mara hii nashindwa kutembea sawa au kukaa inakuwa shida, naomba msaada kujua hii ni nini?
Mkuu we unakijipu tuu?? Vipi ukipata haja kubwa haiambatani na damu damu??
 
Nikuringishie mkuu tunajuana hapa? Lengo hapa ni kusaidiana na kupeana uzoefu kwa watu waliowahi kukumbwa na tatizo kama langu, wewe kama unaona huna cha kuchangia pita polepole fuata mambo yako, hujalazimishwa na mtu yeyote kusoma au kuchangia chochote hapa.
umeshaambiwa ugonjwa wako ukapewa na dawa ya kutumia sasa unapoanza oooh kimewiva sana,mara oooh kilaini sana mara sijui nini....
 
umeshaambiwa tatizo ulilonalo iweje unaanza kuturingishia tena mara oooh nikishika laini laini ,mara sijui mafuta mbona tunaanza kupata hofu kama kweli we mgonjwa,zingatia dawa ulizopewa.case closed
Mkuu namshangaa kweli huyu mgonjwa

Hata mimi nina mashaka na mgonjwa huyu
 
Mkuu namshangaa kweli huyu mgonjwa

Hata mimi nina mashaka na mgonjwa huyu
afadhali umeelewa na wewe,tena ugonjwa wenyewe umekaa pabaya basi mwenyewe anafurahi kunyanyamvua,oooh kando ya shimo,mara sijui tundu limewiva,mara sijui nikinya inakuwa hivi.....
 
Hakika ni bawasiri inauma na zaidi inafadhaisha nimewahi kutokewa mara mbili na ikapotea yenyewe ila ilipokuja kutoka Mara ya tatu hali haikuwa nzuri nilitumia alovera kwa kupaka ute wake kuzunguka uvimbe pia kunywa juisi yake kiasi cha nusu Lita asubuhi kabla ya chochote na jioni wakati wa kulala kuhusu maumivu nilikuwa nikitumia flamar mix
Mkuu Aloevela peke yake ndio imekuponesha!!
 
Back
Top Bottom