Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,726
- 3,743
Jaribu hii, inaweza kukusaidia:Hospitali ameenda sana mkuu. Madaktari walimshauri atumie tiba mbadala tofauti na upasuaji kwa hoja ya kwamba hata akifanya upasuaji uvimbe utarudi.
Walimshauri abadili life style, asiwe na msongo wa mawazo na pia ale mlo kamili pamoja na mboga mboga kwa wingi.
1. Iweke sehemu yenye uvimbe kwenye maji ya moto kwa muda wa kama nusa saa hivi asubuhi na jion,usiku.
2. Paka sehemu yenye tatizo(MNDUKUNI) mafuta ya mnyonyo kila baada ya kutoka kuiweka sehemu hiyo kwenye maji ya moto kila siku asubuhi na jion/usiku. Paka na lala nayo.
3. Jenga tabia ya kutawdha kwa kutumia maji ya moto.
4. Tumia kijiko kimoja kila siku kutwa mara tatu, mchanganyiko uliotengenezwa na asali, habal soda na mdalasini.
5. badili mfumo wako wa kula, kula vyakula vyenye kambakamba, epuka vyakula vya aina ya Chipsi.
6. na acha kutumia pilipili.
Inshallah