Ugali dagaa: Moja ya vyakula vyangu pendwa kabisa

Ugali dagaa: Moja ya vyakula vyangu pendwa kabisa

WhatsApp Image 2025-08-14 at 09.49.42.jpeg
 
naweza kula Ugali, dagaa, bamia, matembele, michicha na mwenzao maharage wiki nzima,
Nyama ni nyongeza tu
 
Haijawahi kutokea mwezi uishe bila kukutana na thread ya kusifia ugali dagaa
Trh zinaruhusu
 
1.Usirogwe ule karanga mbichi muda mfupi baada ya mlo unaohusisha dagaa....

2.Gharama za viungo na kila kitu hapo ni sawa na nusu kilo ya nyama endapo utapika dagaa ya walaji 4+

3. Dagaa wanaweza kukuvutia kwa kukuwaona kwa nje kumbe ni wachungu balaa hasa kama hawakupata jua.
 
Acha ujinga wewe, nusu kilo nyama mle watu 4 huo umaskini wa kutupwa.
Halafu karanga zimesagwa mbona naweka tu ndani ya dagaa.
Kwanini ningoje badae.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom