Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,543
- 4,664
Ugali mweupe is the best hata ikidumaza akili. Hata hivyo akili za niggaz wengi zimedumaa naturally tusisingizie ugaliHapo ni dagaa tu huo ugali umetudumaza sana akili.
Ugali mweupe is the best hata ikidumaza akili. Hata hivyo akili za niggaz wengi zimedumaa naturally tusisingizie ugaliHapo ni dagaa tu huo ugali umetudumaza sana akili.
Sawa kabisaNaona mboga hapo zenyee rangi ya chama ...ongezaa na parachichii hapo mkuu alafu toa huo ugali mweupe na weka mweusi
Hakuna the best ugali umeletwa na wakoloni harafu wao wameusukuma..Ugali mweupe is the best hata ikidumaza akili. Hata hivyo akili za niggaz wengi zimedumaa naturally tusisingizie ugali
Sawa kabisaMimi nikekulia mazingira kdg ...hivyo nikiingiaga uswazi huko nikikupata vitu hivyo hunitoi siku nzima,mpk nimelowa kwa biti hivyo
ugali na dagaa ni vyakula vya kila mzalendo wa hii nchi brooBro madhara ya ugali haya....sa umeandika nini😂
Niondoe humo kwenye wazalendo.....mi sipo kabisa 😁ugali na dagaa ni vyakula vya kila mzalendo wa hii nchi broo
Ugali wa sembe??View attachment 3403427
Kwangu ugali dagaa ni full burudani
Tafuta pesa, kitoweo Cha kwenye maji ni sato
Unamjua kukubahari weweTafuta pesa, kitoweo Cha kwenye maji ni sato
Ni tamu sio poabinti kiziwi Nini ugali dagaa,Kuna wahuni wanakula Chips dagaa..
Chips ,na wale samaki wamafungu hata mm nakulaga sana tubinti kiziwi Nini ugali dagaa,Kuna wahuni wanakula Chips dagaa..
Hahahaha,umetisha,mie nilikua mchana kule kawe mnadaniNa muda huu ndio nataka hapo dagoni...noma.