Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,590
- 11,379
Umenitamanisha ☹️☹️☹️
Kwamba dagaa haina lishe yoyote??Dagaa (sardine) kati ya mboga isiyo na lishe yoyote similar to ugali. Badala ya kujaza tumbo for nothing kula hizo mboga za majani peke yake uokote viji-vitamin na kuzuia uzito usio na sababu.
Sardines offer a variety of health benefits, making them a nutritious addition to a balanced diet. Here are some of the key benefits:Dagaa (sardine) kati ya mboga isiyo na lishe yoyote similar to ugali. Badala ya kujaza tumbo for nothing kula hizo mboga za majani peke yake uokote viji-vitamin na kuzuia uzito usio na sababu.
Dagaa lukumbu tamu sana
Acha kutuingiza majaribuni basi jamaa yangu.
Dagaa sio protein?Dagaa (sardine) kati ya mboga isiyo na lishe yoyote similar to ugali. Badala ya kujaza tumbo for nothing kula hizo mboga za majani peke yake uokote viji-vitamin na kuzuia uzito usio na sababu.
Sana.Dagaa lukumbu tamu sana
Umesema ugali dagaa,hapo naona pia maziwa na mbogamboga!View attachment 3403427
Kwangu ugali dagaa ni full burudani
Toa maelezo mkuu!Ni kweli,ugaki Dagaa ukimpata mpikaji mzuri ni balaa...sema Mkuu usipende kuunganisha Dagaa na maziwa naskia Sio nzur hasa Ukishafika 50+ hv
Ukipiga na mtindi inapendeza zaidiUmesema ugali dagaa,hapo naona pia maziwa na mbogamboga!
I found my people lost filesChips ,na wale samaki wamafungu hata mm nakulaga sana tu
LikewiseMy favourite food 😋