Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,283
- 2,529
Mkulima naomba hivyo vipimo uvitoe hapa barazaniVyombo vya kulishia kuku home made na kimoja Hadi kuku 30 wanakula kwa wakati mmoja ,Kama utahitaji vipimo ni pm ,hata vya maji Kuna staili ya kukata madumu ya majiView attachment 1141260View attachment 1141262
Hongera kwa maamuzi mazuri na huu ni ushauri kwako,Baada ya safari ya muda mrefu wa kujibana matumizi nimefanikiwa kujenga baada pembezoni mwa nyumba yetu lenye eneo kubwa la uzio wa matofali. Nimeanza kwa kununua kuku wa kienyeji wadogo wa miezi miwili na mitatu 100 nategemea kuwa na majogoo 20 na wanaotaga 70. Malengo niliojiwekea ni kuku 50 watage kwa awamu mbili kwa mwaka huu. Kila kuku awe na vifaranga 6 kwa awamu moja, hivyo kwa awamu mbili kila kuku nategemea awe na watoto 12 nikizidisha na kuku 50 napata kuku 60 ambayo nitauza kwa Tsh 6000 kwani sitangoja wawe wakubwa sana. Hivyo kwa mwaka huu natarajia kukusanya Tsh 3000000. Soko langu limelenga sikukuu mbili kubwa. Yaani Eid na Christmas. Mungu nisaidie nifanikiwe malengo yangu. Naombeni ushauri, maoni na pia nikosolewe kama ninakosea.
Pia hela ya kununulia chakula na dawa nimeshaandaa angalau kila mwezi laki moja kwani ni kuku wa kienyeji ambao wanakula pumba tu.
Niko Muheza Tanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida yaweza kuwa kwenye mayai, kuku anayeatamia au mazingira yanayomzunguka kuku anayeatamia (management yako mfugaji).Hivi inakuwaje kuku analalia mayai 10 mwisho vinatoka vifaranga v2 shida iko wapi
Hata Mie nimeanza kufuga kwa kuku kuchi 2 na dume lake 1 sasa Nina vifaranga vya kuku kuchi 13 vya mwezi 1 matarajio yangu hadi mwezi wa sita mtakua nao wengi kwa kuuza biashara
Kuna binadamu hawana huruma kabisaa mwaka 2017 mwisho december nilinunua kuku kutoka mbeya jumla majike na majogoo kama 70 ila mpaka hivi hela hawajaongeza kabisaa zaidi naona wamebakia 30 kila siku mfanyakazi anasema wanaumwa na kufaaaaa
Dada ake vipi maendeleo? UlifanikiwaNashukuru kwa hili nami natarajia february
Nimependa hiiVyombo vya kulishia kuku home made na kimoja Hadi kuku 30 wanakula kwa wakati mmoja ,Kama utahitaji vipimo ni pm ,hata vya maji Kuna staili ya kukata madumu ya majiView attachment 1141260View attachment 1141262
Msaada Wandugu... Kuku wanaokula mayai, dawa Yao NI nini ili waache..??
MWENYEZI MUNGU AIBARIKI KAZI YA MIKONO YAKO, NDUGU YANGU. HEKO!!Baada ya safari ya muda mrefu wa kujibana matumizi nimefanikiwa kujenga baada pembezoni mwa nyumba yetu lenye eneo kubwa la uzio wa matofali. Nimeanza kwa kununua kuku wa kienyeji wadogo wa miezi miwili na mitatu 100 nategemea kuwa na majogoo 20 na wanaotaga 70. Malengo niliojiwekea ni kuku 50 watage kwa awamu mbili kwa mwaka huu. Kila kuku awe na vifaranga 6 kwa awamu moja, hivyo kwa awamu mbili kila kuku nategemea awe na watoto 12 nikizidisha na kuku 50 napata kuku 60 ambayo nitauza kwa Tsh 6000 kwani sitangoja wawe wakubwa sana. Hivyo kwa mwaka huu natarajia kukusanya Tsh 3000000. Soko langu limelenga sikukuu mbili kubwa. Yaani Eid na Christmas. Mungu nisaidie nifanikiwe malengo yangu. Naombeni ushauri, maoni na pia nikosolewe kama ninakosea.
Pia hela ya kununulia chakula na dawa nimeshaandaa angalau kila mwezi laki moja kwani ni kuku wa kienyeji ambao wanakula pumba tu.
Niko Muheza Tanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Nunua vifaranga hao wakubwa utapata hasara sana
Asante mkuu...Wakate midomo ile ya juu iliochongoka Nenda maduka yanayouza madawa ya wanyama wanauza hiyo mikasi yake
Tokana na adhaa hizi kuna haja ya kuwa na muhudumu wa karibuWakate midomo ile ya juu iliochongoka Nenda maduka yanayouza madawa ya wanyama wanauza hiyo mikasi yake
amna aliye sema vp kwan unaelew nn zaidiHivi aliyewaambia watanzania kufuga kuku ndio kutoka ni nani?
Hongera kwa wazo zuriBaada ya safari ya muda mrefu wa kujibana matumizi nimefanikiwa kujenga baada pembezoni mwa nyumba yetu lenye eneo kubwa la uzio wa matofali. Nimeanza kwa kununua kuku wa kienyeji wadogo wa miezi miwili na mitatu 100 nategemea kuwa na majogoo 20 na wanaotaga 70. Malengo niliojiwekea ni kuku 50 watage kwa awamu mbili kwa mwaka huu. Kila kuku awe na vifaranga 6 kwa awamu moja, hivyo kwa awamu mbili kila kuku nategemea awe na watoto 12 nikizidisha na kuku 50 napata kuku 60 ambayo nitauza kwa Tsh 6000 kwani sitangoja wawe wakubwa sana. Hivyo kwa mwaka huu natarajia kukusanya Tsh 3000000. Soko langu limelenga sikukuu mbili kubwa. Yaani Eid na Christmas. Mungu nisaidie nifanikiwe malengo yangu. Naombeni ushauri, maoni na pia nikosolewe kama ninakosea.
Pia hela ya kununulia chakula na dawa nimeshaandaa angalau kila mwezi laki moja kwani ni kuku wa kienyeji ambao wanakula pumba tu.
Niko Muheza Tanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia tatua tatizo la msingi. Kuna virutubisho wanakosa kwenye chakula unachowapa. Madini &/ protein. Rekebisha chakula. Usipofanya hivyo hawaachi hata uwakate vipi.Msaada Wandugu... Kuku wanaokula mayai, dawa Yao NI nini ili waache..??
Asante kiongozi, unaweza nitajia aina ya vyakula inayoweza ondoa shida hiyo?Pia tatua tatizo la msingi. Kuna virutubisho wanakosa kwenye chakula unachowapa. Madini &/ protein. Rekebisha chakula. Usipofanya hivyo hawaachi hata uwakate vipi.
Vyanzo vizuri zaidi vya madini ni mifupa na chokaa chokaa. Vyote hivi vinapatikana kwenye maduka ya vyakula vya mifugo. Pia waweza tumia DCP au Premix.Asante kiongozi, unaweza nitajia aina ya vyakula inayoweza ondoa shida hiyo?