Naam wasikuzingueSalaam wapendwa katika Malaika wa Mungu na Mungu Mkuu mwenye nguvu.
Wengi wamekuwa wakiniuliza Sana kuhusu ubini wa KISANDU inbox, naomba leo ni jibu...
Hilo jina lako linafanana na sehemu njiapanda ya kwenda meatu, simiyu.Kipindi hicho kahama wanamfagilia balsa mwanamziki mtoto WA Dandu maana anko yake aliyekuwa WA jina Hilo alikuwa akiishi Kahama..
Hata huyo abdal naye alikuwa DJHueleweki kabisa,yaani unajikanyaga na kujirudisha wewe mwenyewe
Mwaka 2017 uliandikaje?
Kuwa baba ako ni msukuma na alikuwa Dj Arusha,au unadhani tumesahau???
Mkubwa umekataliwa mpaka na ukoo wako
God bless America.
hahahahaha dondosha album nyigine maana toka umetoa album wewe hakuna mwenye album nzuri tena hebu toa album tena