jina langu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    Kama asingekosea kutaja jina langu, ningekuwa na hali gani sasa?

    Nikiwa maeneo ya mikoa ya kusini, baada ya kumaliza harakati zangu za hapa na pale, nikaamua kuingia kiwanja kimoja kwenye mida ya saa nne usiku angalau niweze kupata 'vibe'. Baada ya kufika kaunta, nikaagiza mvinyo kama kawaida yangu huku nikiangalia kule na pale angalau tu, niweze kuona maua...
  2. M

    X wangu kamwita mwanaye jina langu

    X wangu kawa single mother na kampatia mwanae Jina langu, mwaka 2014 ni mwaka nilipata KAZI ya kuajiriwa ya Serikali, kabla ya kupata ajira nilipitia msoto wa kibabe Sana, pamoja na marehemu baba yangu kuacha Mali za kiasi, bi mkubwa hakuniamini kabisaa na alikuwa aniona chenga sana so bada ya...
  3. Komeo Lachuma

    Watu wana roho mbaya, hawafikishi jina langu. Tutakuja kuonana wabaya

    Watu tunapambana huku na kule, tunajikusu tunatoa kwa ari kubwa kusaidia chama na serikali yetu majina yetu hamyapeleki, nimekwazika sana. Sijaona jina langu na pesa zangu mmekula. Watu tunapambana hivi halafu inakuwa ni wale wale tu. Why? Why lakini? Naandika haya nikiwa naumia sana. Hampeleki...
  4. Civilian Coin

    UFAFANUZI: Kisandu sio Ukoo wangu na halikuwa jina Langu kiukoo na ndio maana Ukoo wa Kisandu haufanani kisura nami DJ. Don Nalimison

    Salaam wapendwa katika Malaika wa Mungu na Mungu Mkuu mwenye nguvu. Wengi wamekuwa wakiniuliza Sana kuhusu ubini wa KISANDU inbox, naomba leo ni jibu. Baba yangu Mzazi alipoondoka kurudi kwao Marekani alinikabidhi kwa rafiki yake Abdalah Kisandu pale Kahama, SHINYANGA na hivyo Ukoo wa Abdalah...
  5. kwenda21

    Nataka kuoa Muislam ila nataka kubaki na jina langu

    Jamani nataka kuoa mwenzenu, Nia ya kuandika hapa si michango, mimi sina shida na kwetu hatuna shida, najua kauli hii itawaumiza sana baadhi ya watu, maana wanapenda kusikia kinyume chake ili wafurahie kuwa hawapo peke yako, ila ndio hivyo tena. Sasa jamani mimi nataka nioe binti wa kiislam...
Back
Top Bottom