Mtoto akilelewa na Mama pekee au upande wa Mamaake apewe majina ya Ukoo wa mamaake

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,900
MTOTO AKILELEWA NA MAMA PEKEE AU UPANDE WA MAMAAKE APEWE MAJINA YA UKOO WA MAMAAKE.

Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Nawaamrisha Binti wote wa Tibeli, Wajomba, na Babu na Bibi ambao binti zenu walizaa watoto kisha wakatelekezwa, wakaachwa, na Baba zao. Mkawalea ninyi wenyewe. Huku Baba zao wakiwepo. Pasipo kutoa matunzo au mnawalazimisha kutoa huduma, au wanajifanya wanajisahau iwe kwa sababu yoyote ile isipokuwa Kifo. Nawaamrisha Waiteni watoto hao majina ya ukoo wenu, ukoo aliotoka binti. Hivyo ndivyo Watibeli tunavyofanya mambo yetu.

Baba hatakuwa na amri na mtoto ikiwa hakuwajibika kwenye matunzo, malezi na majukumu kama Baba.
Mama utakuwa na amri juu ya mtoto katika kumtungia jina lolote utakalo, kisha majina ya ubin achukue majina ya ukoo wenu. Mimi Taikon Mtibeli halisi ndiye niliyekuagiza kwani Watibeli ndio tuko hivyo.

Nafahamu kuna Watu watasema maneno mengi kama walivyozoea kutetea upuuzi. Lakini wewe usiwasikilize, tena usiwe na muda wa kuwajibu.
Wapo watakaosema Majina lazima yatoke upande wa Baba, waambie ni sawasawa kabisa kama huo ulazima ungeonekana kwenye Wajibu na jukumu la Baba la kumlea mtoto wake.

Mtoto akiwa umri wa utegemezi, wanaomlea ndio wanayoamri, Mamlaka ya kumuamulia aitwe nani, mpaka mtoto atakapokuwa mkubwa mwenye umri wa kujitegemea ndio anaweza kubadili majina yake(aliyoitwa) akajipa majina mengine ambayo yanaweza hata yasihusiane na yeyote(Baba au MAMAAKE). Hiyo ni Haki yake.

Baba utabaki kuwa Baba kwenye kuchangia Damu tuu. Kazi hiyo utashukuriwa kwa jukumu zito ulilolifanya lakini kama hukufanya jukumu la pili zito zaidi la kulea basi hutokuwa na nguvu ya kimamlaka dhidi ya mtoto.

Ni aidha mtoto umlee ili awe wako au umtelekeze usiwe na amri juu yake. Na asiwe wa ukoo wako.

Watibeli, tunajua kuwa mtoto anaweza kuchukua au kuwa ukoo wa yeyote kati ya Mama au Baba. Kitakachoangaliwa ni wajibu na majukumu ambayo yanazalisha kitu inaitwa Haki.

Kama Baba umeshindwa kutunza mtoto wako. Naagiza Wamama nao wasiwape amri kwa watoto wenu.

Ewe Binti Hakuna madhara yoyote mtoto wako atapata akiitwa majina ya upande wa ukoo wenu. Hakuna. Kama baba yake hawajibiki Muite mtoto jina kutoka ukoo wenu.

Kumuita mtoto majina kwa Baba asiyewajibika ni kuendekeza Upumbavu. Na hilo Watibeli halivumiliki na kwetu halitafanyika kamwe.

Narudia, hakuna madhara yoyote ya wewe binti kumuita mtoto majina ya ukoo wenu ikiwa Baba hawajibiki. Hutokuwa umemdhulumu jambo lolote.

Wababa wenye mabinti waliozalishwa na ambao mnawalea wajukuu wenu. Usikubali kulea mjukuu ambaye hatumii majina yako wakati baba yake yupo na hamhudumii.

Elewa kuwa Watibeli hatufukuzi binti kisa kazalishwa. Kama mwanaume kamkimbia, mchukue mjukuu kisha mlee. Alafu Muite majina utakayoona wewe. Huyo unaongezea kwenye ukoo wako, anakuwa ni mtoto wako pia.

Elewa kuwa Mtoto wa binti yako ni mtoto wako kwa sababu amechukua Nusu ya damu kutoka kwenu. Mambo ya kusema mtoto wa binti yako sio wako au ni waukoo mwingine hiyo iende sambamba au iwe kutokana na ukoo mwingine kumlea mtoto wenu huyo.

Yaani umlee mtoto wewe na kumkuza alafu aitwe jina la ukoo mwingine. Labda uwe kichwa chako hakifanyi kazi vizuri. Huyo ni mtoto wako kama alivyo binti yako ulivyomzaa na kumtunza.

Hivyo ndivyo Watibeli tulivyo.

Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Ni sahihi iwapo Baba wa mtoto alishapelekwa ustawi wa Jamii na akamkataa mtoto. Wapo wengi tu wasiotumia majina ya Baba zao halisi.

Mmomonyoko wa maadili kwa sasa umekuwa mkubwa na kupelekea hawa wadada kupata ujauzito kiholela.
 
Ni kweli.
Niliandika pia kuwa liwe ni kosa la kina Mwanamke kubeba ujauzito pasipo ruhusu ya mwanaume
 
Naunga mkono hoja.
 
✓✓✓✓✓
 
Back
Top Bottom