Mke wa mtu anaongeza "NA" kwenye jina langu

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,850
Wakubwa njoeni tumalize huu utata maana ipo siku nitamchapa makofi huyu mwanamke ambaye ni mke wa mtu hadharani na adhalilike kabisa.

Kama tujuavyo kuna baadhi ya majina ya kiume ukinyumbua baadhi ya herufi na kuongeza ""na"" lina kua jina la kike na baadhi ukiweka ""na"" automaticaly linakua la kike

Mfano; * paskali =/= paskalina
*Paulo=/= Paulina

Huyu mwanamke ni mke wa mtu mama mtu mzima na watoto wake wa kubwa tuu, amekua akinichekea chekea sana na mimi na kwepa vishawishi vyake na vicheko vyake pia wakati mwingine akinipa huduma ana ni hudumia kwa heshima sana mpaka naona hapa kuna jambo halipo sawa. Nimemkazia sana maana sipendi ujinga na wake za watu ila yeye ameona hawezi ni nasa sasa kaamua kuongeza "na" kwenye jina langu.

Ame haribu jina langu na linakua kama lina sound kikike kike hivi. Nimemkanya sana nimetumia mpaka watu wa kubwa waongee nae ila naona hasikii na wala hataki kuelewa kila akiniona anaongeza "na"

Nafikiria nimpige pipe labda nitaweka heshima ila naona huu utakua mtego wa waziwazi, ndugu wana Jf busara zenu zina hitajika hapa ni mfanyaje aache kuweka hili neno "na" mwishoni mwa jina langu.
 
Back
Top Bottom