Nafikiria kubadilisha jina langu la ukoo, nataka liwe "MAGUFULI"

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,173
27,223
Magufuli nakuomba msamaha kama nimewahi kukukosea popote pale, Mimi ni binadamu ni mkosefu.

Tupo tunaendelea na mama yetu kipenzi chetu na anafanya vyema sana na tupo pamoja nae kila hatua.

Ila leo naomba iwe siku yangu ya kumuomba Magufuli msamaha kwa jambo lolote ambalo nimewahi kumkosea. Iwe kwa kumsema vibaya au kumtukana popote kwa chochote.

Mbali na hayo nafikiria kubadilisha jina langu la ukoo na liwe MAGUFULI. Najua pengine hii inaweza isiwapendeze wanafamilia ila nitajitahidi niweze kuwaelewesha kwa nn nataka iwe hivyo.

Hata wengi waliomsulubu yesu kristo msalabani walikuja kukiri kuwa hakika alikuwa ni "masihi"

Kwa dhati ya moyo wangu bila kushinikizwa na yoyote naona kabisa ninaenda kubadili jina langu la ukoo na kuwa MAGUFULI.

Kama kuna suala la kufagia kaburi, nipo tayari hata kufagia kila siku. Kuhusu kuzikwa nae kama nitaruhusiwa pia naomba iwe hivyo siku nikifa

#kazi inaendelea#
 
Karibu sana ktk jina litakalokumbukwa miaka zaidi ya miambili ijayo, mpaka itakapopotea sgr ije nyingine
 
Ucsubir ,hata sasa nenda kazikwe nae uctupigie kelele hapa

Unatafuta walio hai miongoni mwa waliokufa!
 
Back
Top Bottom