UDSM tupunguzeni masifa sasa

UDSM tupunguzeni masifa sasa

badili hicho ulichoandika kwa kingereza
International languages and not kiswaili which no matter how much ill be an expert on it wont take me anywhere..................

Mm bwana cjuh nilizaliwa naijua hii luga
 
Mwingine anasoma bachelor of of arts in drinking water ,kisa yupo udsm anajikutaaaa .Anamdharau dogo anaesoma medical lab Kairuki
Hiyo course ipo kwenye chuo chenu
ona huyu zumbukuku wa udsm.

eti collage??

do you even know what collage is?

😀 😀

collage?????? 😀

halafu eti unasahihisha kwa madaha kabisa.

would please spare me the shit and get back to school..... fuuuuuuuulllllllllll.
 
Haiwezekani mtu unaenda na kamba ya ID hadi Makumbusho, mwenge, Mbezi, POSTA, Kariakooo useme umesahau..

Jifunze kumind maisha yako mkuu, maana binadamu huwezi kumwamulia avaeje.

Pia sidhani kama wanavunja sheria ya nchi kwa kuvaa vitambulisho.
 
Acheni kufuatilia vitu vidogo vidogo, kuvaa au kutokuvaa ID nje ya neeo husika ni maamuzi ya mtu mwenyewe na wala haimpunguzii chochote mtu mwingine.
Ukiwa na fikra za kudharauliwa ndio utajiona upo chini kwa kila kitu.
Wapo watu wengi tunawaona na vitambulisho vyao njiani lakini hatuchukulii kama kujionyesha.
Na nadhani kutakuwa na utofauti wa kweli kwa UDSM ndio maan imekuuma.
Fanya yako kiongozi.
 
Waliosema kila kitu na mahala pake hawakukosea id ni kitambulisho cha mtu katika eneo husika........ Hivi itakuaje daktari aamue kutembea na koti lake kila maali injinia na ovaloli yake cjuh nahisi unapata maana yangu haileti picha nzuli na inaonekana n ulimbukeni
 
Hususani mwaka wa kwanza ndo imekuwa kero kusoma UDSM sio sababu unasoma mbinguni ..

Haiwezekani mtu unaenda na kamba ya ID hadi Makumbusho, mwenge, Mbezi, POSTA, Kariakooo useme umesahau..

Kinachokupa kiburi uivae muda wote ni kisa imeandikwa tu UDSM STUDENT.
Tuacheni huu ujinga mbona UDSM chuo cha kawaida hata kama ndo cha kwanza TANZANIA ila isifanye tuonekane washamba. Mana hizo kamba za ID wafanyakazi wa mashirika yote wanazo ila huwez mkuta mtu nazo barabarani kama ni nje ya eneo la kazi.
Zilitolewa kwa ajili ya ndani ya chuo si kwa mauzo yaaan mitandao yote ya jamiii imekuwa kero na hiyo kamba kisa imeandikwa tuu UDSM student jamani.

Mtu anapiga picha na Kaushi ila amening'iniza kamba ya ID sasa wakati wavua shati unataka sema ulisahau kamba ya ID au masifa jamani...

Imekuwa kama ng'ombe sasa na kengele.
Na wewe vaa cha kwako cha NIT.
 
Waliosema kila kitu na mahala pake hawakukosea id ni kitambulisho cha mtu katika eneo husika........ Hivi itakuaje daktari aamue kutembea na koti lake kila maali injinia na ovaloli yake cjuh nahisi unapata maana yangu haileti picha nzuli na inaonekana n ulimbukeni
Unajishushia hadhi ndugu, ni wapi imeandikwa kitambulisho kivaliwe sehemu husika tu? Unaweza kukivaa popote kama vile unavyotembea nacho popote, labda kama ni cha usalama wao ndio wana sheria hiyo.
Halafu kwa taarifa yako koti si alama ya udaktari, overall si alama ya uinjinia.
 
All the school kids are so sick of books and learnin'
They don't read anymore, they don't even read anymore
They just wanna be like all the rappers that I can't stand
 
All the school kids are so sick of books and learnin'
They don't read anymore, they don't even read anymore
They just wanna be like all the rappers that I can't stand
Nahisi kama sijakuelewa hivi, Kutoka na mada husika na ulichopost.
 
Watu wana blame mambo madogo sana yaani mzozo wote huu kisa id etiii UDSM sasa kina ina kera nini sasa kwa mfano....me cjawai sikia kina watu wame pofuka macho etii kisaa amemuona udsm student amevaa id...jaman ni sasa kwani ukipiga picha na id ni dhambi kweli nani ka kwambia icho kitu ni cha kishamba....wanafunzi wengi tumetoka vijijini na mm ni mmoja wapo kati ya wengi tunaosoma vyuoni hivi ulisha wait zungumzia suala la matumiz ya pesa ambayo hayana umuhimu kama vile ratiba za baaash kila wikiend kwenda kwenye casino au kuweka heshima bar naisi hivi vitu ukipiga picha kwenye hayo matukio ndio utatuona wajanja au sio mkuuu....badilikaaa fikiriiia zaidiii kuwa na mtazamo mkubwa mkuuu Id sio kitu cha kuanzisha topic kubwa kwenye mitandao ya kijamiii as long as haviwezi badili kitu chochote kifikra kimawazo kiuchumi na kadhalika jalibu kutoa post ambazo mwisho wake zinaweza kuleta mtazamo mpya wa aina ya maisha katika misingi ya maendeleo katika nyanja zote mkuuu....
 
Maisha yana change sana baada ya kumaliza matumizi ya hiyo Id pale ufikapo wakati wa clearance . Waacheni wadogo zetu wa enjoy privilege za ki chuo chuo.
 
Ao wanaovaa itakuwa people from mikoan so kaona n ujiko kusoma jiji la makonda sa ngoja alingishe kuwa yuko dar....haha naota lakn
 
Ao wanaovaa itakuwa people from mikoan so kaona n ujiko kusoma jiji la makonda sa ngoja alingishe kuwa yuko dar....haha naota lakn
Your responsible for Your own life....not judging others.

Acha umbea na ukafanye kitu chenye manufaa maishaini mwako.

After all kwan mtu kutokea mikoani ni dhambi? Una wazidi nn watu wa mikoani?... Usikute hata Maendeleo wanakuzidi halafu wewe umekalia umbea.

Ndo maana nakuambia hivi acha umbea hausaidii chochote.
 
Back
Top Bottom