UDSM tupunguzeni masifa sasa

UDSM tupunguzeni masifa sasa

Wanaosoma udsm,wengi wanatokea mikoan,kwahiyo tuwavumilie tu.
the worst thing ni kwamba, they have no any credible impact after three good years in the collage.

kwa mfano, bachelor in Kiswahili 🙄 🙄

its impact is actually likely to deem up to -0.0%.

utamkuta huyo kagangamara kama kisiki, udsm! udsm! udsm!

😀 😀
 
Hususani mwaka wa kwanza ndo imekuwa kero kusoma UDSM sio sababu unasoma mbinguni ..

Haiwezekani mtu unaenda na kamba ya ID hadi Makumbusho, mwenge, Mbenzi, POSTA ,kariakooo useme umesahau..

Kinachokupa kiburi uivae muda wote ni kisa imeandikwa tu UDSM STUDENT.
Tuachani huu ujinga mbona UDSM chuo cha kawaida hata kama ndo cha kwanza TANZANIA ila isifanye tuonekane washamba. Mana hizo kamba za ID wafanyakazi wa mashirika yote wanazo ila huwez mkuta mtu nazo barabarani kama ni nje ya eneo la kazi.
Zilitolewa kwaajili ya ndani ya chuo si kwa mauzo yaaan mitandao yote ya jamiii imekuwa kero na hiyo kamba kisa imeandikwa tuu udsm student jamani.

Mtu anapiga picha na Kaushi ila amening'iniza kamba ya ID sasa wakati wavua shati unataka sema ulisahau kamba ya ID au masifa jamani...
Imekuwa kama ng'ombe sasa na kengele.
Tutazidi kuzivaa tu...
 
hahaa huyu mwaka wa tatu nae kilaza tu kwanzaa ndii mnaongoza kupost picha social mediaa za udsm student.... kwanza unasoma kozi gani we kilaza kakomaee na madesa huko acha kudiss non sense issuez
 
Kwani uongo kama udsm ni think tank ya tz?
Jpm karibu anamaliza maprof wote wa udsm......

Udsm hoyeee
Sawa,

Hebu tupe any current positive effect ya hao think tank.
 
Umenena vema mkuu, mwenyew nipo Udsm but nikiwa first year sikuwa hivo but kuna watu ukiwambia wanaona ka unawakosea HAKI zao
 
Na wewe unashangilia? Au UDSM haihitaji hao maprofesa? Akiendelea hivyo baada ya miaka mitano tutajuliana hali.
ukinisoma between lines utajua nimemaanisha nini!
Binafsi nimefundishwa na baadhi ya hao wateule ni ukweli usiopingika wapo vizuri kuliko hawa wengine wanao ajiriwa kipindi hiki
Binafsi naona jpm anaiharibu udsm
 
Hahaha,,,,,,, mtajuaje kua wanasoma ud !!!!!
Ila degree n ileile,,, hats wa udism,, aspo komaa atakua chenga kama vyenga vingine,,,,,
kweli hata wewe nadhani mda si mrefu utakuwa na degree ila haitofanana na za wengine kwa uandishi huu.
 
Ukivaa itakutambulisha ka we n mwanafynz wa ud asa kama wewe unataka kila unakopita watu wajue amepita jamaa wa ud basi vaa tuuu............ Usipovaa unaonekana laia wa kawaida
Laia=[raia]
Sasa niambie ni typing error au hujui tofauti ya R na L?
 
nyinyi nazani masifa ni moja ya somo mnalofundishwa,,niliwai hudhulia interview sehem fulani nikiwa km interviewer,basi jamaa ikafika zamu ya jamaa wa ud tn fresh from school,,akaulizwa tofauti kati ya direct v indirect tax na utoe mfano wa kila 1,,jamaa akaeleza ila vice versa,,sasa ubishi ukaanza kwenye kumrekebisha,,aisee wnafunzi wa ud wabishi hata kwa wasivyojua
mh...so ulikuiwa nao wanafunzi wote wa UD hapo au? ina maana wao vyuo vingine kila kitu wanajua? huwezi ukageneralize kwa kuangalia mtu mmoja au watu wachache.
 
the worst thing ni kwamba, they have no any credible impact after three good years in the collage.

kwa mfano, bachelor in Kiswahili 🙄 🙄

its impact is actually likely to deem up to -0.0%.

utamkuta huyo kagangamara kama kisiki, udsm! udsm! udsm!

😀 😀
Collage=college
 
kasome UDSM na wewe kama unaweza then uje na mrejesho utakua unajisikiaje!

waache wafanye yote kile ndio chuo cha taifa
 
Alafu unakuta mwanafunzi mwenyewe anasoma BED (Bachelor in Education), wakat waleo wa CoICT wakitoka wanavivua...

ahaha ahaha, mm huwa nahisi wamefika baati mbya ud
 
Kipindi tunaingia chuo fasheni ilikuwa kuvaa miwani za macho.

Jamii flani toka kanda ya ziwa walikua na mamiwani hao balaa. Ni msimu tu hata hawa wa ID watajiona malofa na kurudi normal.

Wakikua wataacha. Ubaya shule zetu hazina somo la etiquette na manners. Na kama lipo basi walimu wenyewe sio.
 
Collage=college
ona huyu zumbukuku wa udsm.

eti collage??

do you even know what collage is?

😀 😀

collage?????? 😀

halafu eti unasahihisha kwa madaha kabisa.

would please spare me the shit and get back to school..... fuuuuuuuulllllllllll.
 
Back
Top Bottom