TOHATO
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,467
- 5,271
- Thread starter
- #141
Baadhi ya Watanzania wamechanganyikiwa Mkuu.
Mtu na mapenzi yake kwa chuo chake eti Ushamba. Yaani Elimu kweli ni muhimu.
Mbona kuna watu wanavaa majezi ya Man U, Liverpool n.k. hamuwasemi. Hayo ni mapenzi ya mtu jamani.
zina sehem zake sio kila mahali mbona wafanyakazi wengine wanazo ila uwez mkuta barabarani mtu mana anajua ni ujinga nisawa na uchafu,,, maana yake ni kuwa kinapokuwa sehem si yake ni uchafu
Kila mtu anao Uhuru wake katika kuvaa ilimradi asivunje sheria.