TOHATO
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,253
- 4,193
Hususani mwaka wa kwanza ndo imekuwa kero kusoma UDSM sio sababu unasoma mbinguni ..Haiwezekani mtu unaenda na kamba ya ID hadi Makumbusho, mwenge, Mbezi, POSTA, Kariakooo useme umesahau..
Kinachokupa kiburi uivae muda wote ni kisa imeandikwa tu UDSM student.
Tuacheni huu ujinga mbona UDSM chuo cha kawaida hata kama ndo cha kwanza Tanzania ila isifanye tuonekane washamba. Mana hizo kamba za ID wafanyakazi wa mashirika yote wanazo ila huwez mkuta mtu nazo barabarani kama ni nje ya eneo la kazi.
Zilitolewa kwa ajili ya ndani ya chuo si kwa mauzo yaaan mitandao yote ya jamiii imekuwa kero na hiyo kamba kisa imeandikwa tuu UDSM student jamani.
Mtu anapiga picha na Kaushi ila amening'iniza kamba ya ID sasa wakati wavua shati unataka sema ulisahau kamba ya ID au masifa jamani...
Imekuwa kama ng'ombe sasa na kengele.